Tunategemeana (Remix) Lyrics
Tunategemeana (Remix) Lyrics by GODFREY STEVEN
Wale wa ng’ambo wanauliza mmewezaje
Wale wa ng’ambo wanajibu mmeshindwaje
Wale wa ng’ambo wanauliza mmevukaje
Na ng’ambo inajibu minashindwaje
Mlicho nacho hatuna tulichonacho hamna ooh
Basi tubadilishane tunafaike sote
Ulionalo gumu kwako kwa mwingine rahisi
Uonalo rahisi kwako kwa mwingine ni gume
Sababu kamwe mapito yanatofautiana
Tutiane moyo sote safari ni moja
Sababu ooh
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Tuwatu wa Baba mmoja
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Ili giza litoweke lahitaji mwanga ujue
Tena hakuna mrefu pasipo na mfupi eeh
Ukiona daraja limejengeka ujue
Palionekana bonde kabla ooh ooh
Ulionalo gumu kwako kwa mwingine rahisi
Uonalo rahisi kwako kwa mwingine ni gume
Sababu kamwe mapito yanatofautiana
Tutiane moyo sote safari ni moja
Sababu ooh
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Ndivyo mungu alivyo tuumba
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Huwezi kuwa kamili pekee
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Sababu ooh
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Kweli bwanaa
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Huwezi kuwa kamili pekee
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Kwelii
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Mmmmhh
Tegemeana tegemeana tunategemeana
Watch Video
About Tunategemeana (Remix)
More GODFREY STEVEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl