Maghetto Remix Lyrics
Maghetto Remix Lyrics by MICHU
Aaahhh uuuhh wuwuuuuh
Aaah mammmmm
Naishi mageto ya wanangu
Sina chochote sina kwangu
Nahangaika nipate kwangu
Jua na mvua vyote vyangu
Mi mwenyewe sina pakukaa
Halafu ndio unataka uje dar
Mara kwa mara huwa nalala njaa
Nitakulisha ninii?
Ndio nahangaika nisaka chapaa
Vumilia punguza lalama
Ukiona mwanaume analala njaa
Ujue mambo ya naenda mramaa aaaa ah ah ah ahh
Naranda randa huku na huku
Nausaka umaarufu
Mama michu nae anataka kuja huku
Maisha magumu nitawalisha nini?
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Hofu inatokota, naogopa, utachoka kunivumilia
Ikichelewa, utaondoka au utasubiria?
Ndoto yangu inanihitaji we una mahitaji wakija utaokota au utazichunia?
Sijamove, still hata getto sina mi na wana tuko crew
Sita kwenye getto moja na ndo chaka la ku do
Vipi utakubali wana watupishe kwenye room
Ama utawaonea haya haitokuletea ugumu
People miluzi ehe kila day
Wapiga honi wana seduce ehe will you stay
Hustle zangu siwezi ku-loose ehe zitapay
Kutofika haiwezi kuwa true ehe itadelay
Ukinicheki niko tu stu’ usi-catch
Naeka tu nguvu nizi-catch
Mjini ni hard ku-make
Siwezi ku choose mistake
Staki niugue heartbreak
Staki tuibue regrets
Staki ukue upset (pandit)
Naishi magettoni na wanangu for life
Nkipambana ngoma ziishi magettoni kwa wanangu for life
So i fight for life
Mpaka historia yangu iishi kwenye magetto ya wana for life
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Watch Video
About Maghetto Remix
More MICHU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl