Rhumba Lyrics
Rhumba Lyrics by BARAKAH THE PRINCE
Kimambo on the beat
[VERSE 1 ]
Ai
Ooh beiby tunasonga kama utani
Aaah, wabaya wote taabani
Orodhani, baadae uende sokoni
Ooooh naona hamu mboga za majani
Usisahau bambia na mapochopocho
Kabla giza kuingia, kuna zawadi yako
Ukirudi nitakupokea uswubwagatha mwisho
Jiko nitakuwashia, kupika ibakie kazi yako
(mama)
[CHORUS]
Mwanzo napenda unavyolisakata
(Rhumba oooh beiby sakata****)(everyday)
Unanichanganya sakata
(Rhumba oooh beiby swadamta)(everyday)
Uko feni lako unalisakata
(Rhumba oooh beiby sakata)(everyday)
Mwenzio unanimaliza
(Rhumba oooh beiby swadamta)
Rada
Beiby umenimada
Beiby rada
[VERSE 2]
Oooh aaah ananitekenya
Macho yakiniona yananiita
Weka mikebuka, washaa taa mama leo tunapika
Nasi (chambua mchele) tupike na wali nazi
Usiufanye mali ya umma ukajaza watu shazi
(Oooh bora nikeshe)
Nikisakanya doh, linda pendo
(Oooh bora nikeshe)
Huko huko Kariakor, tutakabana koo
(Oooh bora nikeshe)
Nikutunze mama eeh
[Chorus]
Mwanzo napenda unavyolisakata
(Rhumba oooh beiby swadamta)(everyday)
Unanichanganya sakata
(Rhumba oooh beiby sakata)(everyday)
Uko feni lako unalisakata
(Rhumba oooh beiby swadamta)(everyday)
Mwenzio unanimaliza
(Rhumba oooh beiby swadamta)
Zikatwe (aha) Till I die
Zikatwe (aha) Till I die
Zikatwe
[CHORUS]
Mwanzo napenda unavyolisakata
(Rhumba oooh beiby sakata****)(everyday)
Unanichanganya sakata
(Rhumba oooh beiby swadamta)(everyday)
Uko feni lako unalisakata
(Rhumba oooh beiby sakata)(everyday)
Mwenzio unanimaliza
(Rhumba oooh beiby swadamta)
Watch Video
About Rhumba
More BARAKAH THE PRINCE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl