Sometimes Lyrics
Sometimes Lyrics by BARAKAH THE PRINCE
Mateso ni moja kati yaliyo mapito yangu
Maumivu ni moja kati ya ngazi zangu
Na hayazuhii macho kupenda yakipenda
Halafu haikomi roho hata kama ilitendwa
Nachoamini nakupenda
Nisichopinga mimi nakupenda
Mwenzio nachoamini oh nakupenda
Sibishani nalo silipingi hilo
Nagomboo hagomboo huai nyae
Haterii hateri udalawanee
Mondine mondine umama wange
Noking'eo mama
Nagomboo hagomboo huai nyae
Haterii hateri udalawanee
Mondine mondine umama wange
Noking'eo mama wewe
Sometimes I miss you, oh Mama
Sometimes I miss you, kipenzi changu
Sometimes I miss you
Kitinda kitinda cha roho
Sometimes I miss you
Sometimes I miss you, sometimes mama
Sometimes I miss youuu
Ulinipeleka race
Ikafaa break masikini roho yangu
Bado haijawa late
Naomba ikutouch utapoona chozi langu
Popote ulipo iwe redioni
Au kwenye tv ukinisikia
Kwa mboni zangu mama mara nyingi
Picha zako hunirudia
Na ninachoamini nakupenda sana
Japo hukuthamini kwangu ukaondaka wewe
Mi masikini roho yangu
Ikahisi kufa kwa matendo yale
Kwa kuwa na busara kwa penzi langu
Ukanihukumu na wangu upole
Ila popote ulipo jua
Sometimes I miss you, oh Mama
Sometimes I miss you, kipenzi changu
Sometimes I miss you
Kitinda kitinda cha roho
Sometimes I miss you
Sometimes I miss you, sometimes mama
Sometimes I miss youuu
Usingizi ni wewe mchana na usiku
Na ukisikia imetoka nafsi yangu
Sababu ni wewe
Jua sababu ni wewe
Oh mama sababu ni wewe
Na umeifanya pombe iwe pacha kwangu
Chanzo ni wewe cha kulewa
Chanzo ni wewe
Jua, chanzo ni wewe eeeh
Watch Video
About Sometimes
More BARAKAH THE PRINCE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl