BARAKAH THE PRINCE Alimaanisha cover image

Alimaanisha Lyrics

Alimaanisha Lyrics by BARAKAH THE PRINCE


Lalalala...Oooh
Kura za ndio, oh Magufuli ndio
Tano tena mama Samia, ndio
Ndio na vumbi wapinzani mbio

Alisema tujenge taifa litembee
Sitowaangushaa
Kama utani uchumi wa nchi 
Sasa upo juu

Sera yake tukembe
Na tena tupinge dhambi ya rushwa mama
Haki kwa sekta mbali mbali 
Mambo nafuu

Akaanza na bara bara
Mpaka gari za mwendo
Tanzania ikang'ara 
Ya kijani kilee

Ona pwani visiwa na bara
Mwendo mseleleko
Miundo mbingu imara

Alipoitaka kura yangu
Alimaanisha, maanisha
Kumbe alimaanisha
Kuiboresha Tanzania

Alimaanisha, maanisha 
(Anko Magu, CCM)
Kumbe alimaanisha
Elimu bure katupatia

Kura na ndio ndio ndio ndio
Viwanda na kusimama
Tano na ndio ndio ndio ndio
Zahanati kila kona

Wapinzani mbio mbio mbio mbio
Wamebaki kunongona
Mafisadi mbio Wanapepea
Makoti yao yanapepea

Nachojivunia sasa 
Tumempata komando (Komando!)
Ubungo na Tazara, flyover 
Sasa kama ng'ambo (Tupo ng'ambo)

Air Tanzania zapishana
Kweli mambo gando (Mambo gando)
Air Tanzania sasa si kama 
Ile ya kitambo (Ipo gando)

Standard gauge ipo kwetu
Silaha ya mambo tuliona majuu
Sasa nitupe wapi kura yangu
Kama sio kwa Magu, chaguo letu

Umeme haukati huku kwetu
Maisha yamekuwa bei nafuu
Nitupe wapi kura yangu
Kama sio kwa Magu

Alipoitaka kura yangu
Alimaanisha, maanisha
Kumbe alimaanisha
Kuiboresha Tanzania

Alimaanisha, maanisha 
(Anko Magu, CCM)
Kumbe alimaanisha
Eeh kumpata tunajivunia

Ndio ndio ndio ndio
Kwa kipenzi cha watu Magufuli
Tano na ndio ndio ndio ndio
Kwa mama Samia

CCM, Ndio ndio ndio ndio
Kassim majaliwa, Ndio ndio ndio ndio
Wabunge wanao wania, Ndio ndio ndio ndio
Na madiwani pia wote, Ndio ndio ndio ndio

Tuijenge Tanzania sote!


About Alimaanisha

Album : Alimaanisha (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 08 , 2020

More BARAKAH THE PRINCE Lyrics

BARAKAH THE PRINCE
BARAKAH THE PRINCE
BARAKAH THE PRINCE
BARAKAH THE PRINCE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl