Rhumba Lyrics
Rhumba Lyrics by ABDUKIBA
Yeap
Yeah baba, Moko
Mtoto mwendo wa jongoo
Taratibu ukitembea
Na hili joto la bongo ooh
24 nitakupepea
Langu ua chanua aah
Maji nitakumwagilia aah
Twacheza kidedea kidedea
Mabusu mpaka twalala
Mi kwako koroma koroma
Koroma(zezeta)
Koroma koroma
Koroma(umeniweza)
Baby tucheze rhumba kidogo
Honey tucheze rhumba kidogo
Baby tucheze rhumba kidogo(iyee eh eh iyoo)
Honey tucheze rhumba kidogo(iyee)
Baby tucheze rhumba kidogo
Honey tucheze rhumba kidogo
Baby tucheze rhumba kidogo
Honey tucheze rhumba kidogo
Hapa kikubwa ndoa
Tunasubiri ndoa haya
Nimekuridhia eeh
Nawe umeniridhia haya
Hao wagonga kokoto
Nyundo igonge vidole
Acha waumie zao roho
Wenye choko choko
Na vijicho chongo
Tuwafungie vioo
Wanakaza roho
Navo jishongondoa
Nitazidisha mikogo
Waone nawaboa
Ooh yeah
Mi kwako koroma koroma
Koroma(zezeta)
Koroma koroma
Korona(umeniweza)
Baby tucheze rhumba kidogo
Honey tucheze rhumba kidogo
Baby tucheze rhumba kidogo(iyee eh eh iyoo)
Honey tucheze rhumba kidogo(iyee)
Umenionyesha upendo
Hata kinyongo sina
Ni mkufunzi wa mengi
Wastahiki tuzo heshima
Kama mapenzi siafu
Tuongozane mi nawe
Nikutunze kama sarafu
Tusipotezane mi nawe
Leo unacheza rhumba kwa mbwembe
Wanafiki wakae na vidonge
Siri za rhumba ni kizombe
Raha kupendwa nawe
Mi kwako koroma koroma
Koroma(zezeta)
Koroma koroma
Koroma(umeniweza)
Baby tucheze rhumba kidogo
Honey tucheze rhumba kidogo
Baby tucheze rhumba kidogo(iyee eh eh iyoo)
Honey tucheze rhumba kidogo(iyee)
Baby tucheze rhumba kidogo
Honey tucheze rhumba kidogo
Baby tucheze rhumba kidogo
Honey tucheze rhumba kidogo
Moko Genius
Watch Video
About Rhumba
More ABDUKIBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl