
Ukinijibu Lyrics
...
Ukinijibu Lyrics by GIGY MONEY
Kama unanikubali weka emoji ya makopa
Hater’s niliwapa makavu live, kujibu wakogopa
Ukinisema unanunua deni ambalo hauja kopa
Vinyota vyenu vya mkokoteni
Mnashindana na chopa ogopa
Nyie mmeanza mi namaliza
Na huwo moto akuna waku utuliza
Nyie mmeanza mi namaliza
Na huwo moto akuna waku utuliza
Ukinijibu, we umenichokoza
Na ukivunga ahh unanihejofia
Ukinijibu wewe, we umenichokoza
Na ukivunga ahh unanihejofia
Kombe halifunikwi
Na mwanaha umu hapiti
Dawa ya moto fire
Yani mtiti mtiti
Hatoki mtu kwa mkapa mushaingiasite
Nawabarusa kisawa sawa
Lasima niwa tight hubamiti
Nyie mmeanza mi namaliza
Na huwo moto akuna waku utuliza
Nyie mmeanza mi namaliza
Na huwo moto akuna waku utuliza
Ukinijibu, we umenichokoza
Na ukivunga ahh unanihejofia
Ukinijibu wewe, we umenichokoza
Na ukivunga ahh unanihejofia
Watch Video
About Ukinijibu
More GIGY MONEY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl