Ukinitekenya Lyrics
Ukinitekenya Lyrics by SHILOLE
Records
Forwardi
Piga mashooti mashepu achana naye
Usije fungua ka zipu, ukaumia roho
Wacha wetu usiwape gepu wakome ng'oo
Mashallah!
Ushajua nakupenda, linga
Linga waba mpaka nikomoke
Eeh wallah, kweli penzi ni kidonda
Vimba, piga msamba mpaka nichanike
Mmmh kanipa moto moto, kanitoa baridi
Kaacha utoto utoto, kajiona zaidi
Mapenzi kipima joto, kanipima baridi
Ulipo na mimi nipo, kikubwa nifaidi
Mwenzako beiby
Kanachonyota, kana chonyota
Kana ungua ungua go, kanachonyota
Ooh beiby, kanachonyota
Aah aah
Ukinitekenya usiguze kwenye mbavu
Ukinitekenya naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye shingo
Ukinitekenya naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye mbavu
Ukinitekenya maana naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye shingo
Ukinitekenya aah naona raha
Fungua macho papasa, kama sabuni takasa
We fungua mikitasa, nishadataa
Cheza bolingo chakacha, kizunguzungu zunguka
Kama masai naruka, nishadataa
Mashallah!
Ushajua nakupenda, linga
Linga waba mpaka nikomoke
Eeh wallah, kweli penzi ni kidonda
Vimba, piga msamba mpaka nichanike
Mmmh kanipa moto moto, kanitoa baridi
Kaacha utoto utoto, kajiona zaidi
Mapenzi kipima joto, kanipima baridi
Ulipo na mimi nipo, kikubwa nifaidi
Mwenzako beiby
Kanachonyota, kamoyo kana choyo
Kana ungua ungua go, kanachonyota
Ooh beiby, kanachonyota
Aah aah
Ukinitekenya usiguze kwenye mbavu
Ukinitekenya naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye shingo
Ukinitekenya naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye mbavu
Ukinitekenya maana naona raha
Ukinitekenya usiguze kwenye shingo
Ukinitekenya aah naona raha
Watch Video
About Ukinitekenya
More SHILOLE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl