Magufuli Lyrics
Magufuli Lyrics by SHILOLE
Magu katulia hatuna hofu naye
Magufuli anatupenda ee
Mpambanaji anayetupeleka kwenye neema
Mpambanaji amefanya makubwa tunaona ee
Hapa kazi na ameshafanya mengi
Nchi kaijenga na heshima imerudi
Hapa kazi na ameshafanya mengi
Nchi kaijenga na heshima imerudi
Kaongeza uchumi ndani ya nchi
Kuna treni safi standard gauge
Uwanja wa kisasa mmmh tutake nini?
Madawa bwerere elimu bure
Hakuna mtoto kukosa shule
Soko la madini lipo juu nchini
Na muache, Magufuli Magufuli
Jembe letu, Magufuli Magufuli
Na muache, Magufuli Magufuli
Jembe letu, Magufuli Magufuli
Wapinzani, nyang'a nyang'a nyang'a nyang'a
Wapinzani, nyang'a nyang'a nyang'a nyang'a
Wamechoka nyang'a nyang'a nyang'a nyang'a
Wananiita Shilole
Asojua ni nani Magufuli baba
Na watoto nyumbani
Wananiita Shilole, asojua ni nani
Samia Mama
Tanzania number 1
Majaliwa kazini noma eeh
Mafisadi wanaisoma eeh
Magufuli, tumbua baba, tumbua
Tumbua baba, tumbua
Magufuli, tumbua baba, tumbua
Tumbua baba, tumbua
Magufuli, tumbua baba, tumbua
Tumbua baba, tumbua
Tumbua baba, tumbua
Tumbua baba, tumbua
Na muache, Magufuli Magufuli
Jembe letu, Magufuli Magufuli
Na muache, Magufuli Magufuli
Jembe letu, Magufuli Magufuli
Wapinzani, nyang'a nyang'a nyang'a nyang'a
Wapinzani, nyang'a nyang'a nyang'a nyang'a
Wamechoka nyang'a nyang'a nyang'a nyang'a
Watch Video
About Magufuli
More SHILOLE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl