Viuno Lyrics by SHILOLE


Wanachechema ma machechema
Machechema ma machechema
Wanachechema ma machechema
Machechema ma machechema

(It's S2kizzy beiby)

Nishafika na machizi 
Club tunabang, bang
Level hizi hufiki 
Kaa pembeni (Mbeni)

Siwaoni top 10

Nawazoom watoto wadogo 
Jinsi wanavyptapa tapa
Natema sumu  
Wanabaki nyaka nyaka
Chum chum nawaona taka taka
Taka taka, taka taka

Wameshanichokoza na siwapi nafasi
Ni ngoma juu ya ngoma
Sitoi tena chai si mpaka waseme basi
Shishi baby ni noma

Wengine wanakata, viuno
Wengine wanakatika, viuno foo
Wengine wanakata, viuno
Wengine wanakatika, viuno foo

Wengine wanakata, viuno
Wengine wanakatika, viuno foo
Wengine wanakata, viuno
Wengine wanakatika, viuno foo

Nakula bata la kila aina
Kama mbele mi ni china
Wameshafyata hawafiki final
Final final

Nakula bata la kila aina
Kama mbele mi ni china
Wameshafyata hawafiki final
Final final

Na kama hakuna city tunajipekecha
Tunadai risiti hatutoi pesa
Mpaka marikiti zinanesa nesa
Hesabu nyingi dhahabu tunaingia na racer

Hatupishani na gari la mshahara
Mpe bia akuelekeze pa kulala
Jipindue Insta ukutane na makala
Sahau mpira ukutane na nakala, copy yaani
Na una mke nyumbani hapo ndo mtihani
Mwaga radhi dada kwani atakujua nani?

Wengine wanakata, viuno
Wengine wanakatika, viuno foo
Wengine wanakata, viuno
Wengine wanakatika, viuno foo

Wengine wanakata, viuno
Wengine wanakatika, viuno foo
Wengine wanakata, viuno
Wengine wanakatika, viuno foo

Mwaga fiti twende kazi
Shangazi kakata shanga
Hio kanga mwagia maji
Papapa pipipi pa!

Watch Video

About Viuno

Album : Viuno (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Shishi Gang
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 25 , 2020

More SHILOLE Lyrics

SHILOLE
SHILOLE
SHILOLE
SHILOLE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl