...

Uzuri Lyrics by BUKI


Lalalala lalalaaah

Oooh oooh

lalalala lalalaah

Nimeruhusu macho yangu

Yakutazame wewe tu

Naruhusu masikio

Yakusikie wewe tu

Nimeruhusu Akili yangu

Ikuwazie wewe tu

Tatizo uzuri wangu

Wanitamani wengi tu

Yalaiti ungejua

Wangapi wananiomba number

Shababu Nakupenda shana

Timu timu nawakataa

I wish ungejua

La la laaa

Wangapi wananitongoza

La La laaah

Sababu Nakupenda shana

Timutimu nawakataa

Ooooh wo wooh

Tatizo nimezidi uzuri

Ndomana unateswa na wivu

Ila mchuchu usijali

Handsome huyu ni wako tu

Tatizo nimezidi uzuri

Lapapopapooo

La La La laaah

Ila mchuchu usijali

Pisi kali huyu ni wako tu

Ni wako tu

Onokuchi (onokuchi)

ekwueme (ekwueme)

Omg (omg)

bless my love

Wenye mambo yakidigitali

Walondani kwenye magari

Wasitututese wa vibatali

Bby ooh my love

Nimekuletea Dera

Nimekosa Abaya

Nitaleta nikipata hela

Usijisikie vibaya

I wish ungejua

La La laah

Wangapi wananitongoza

La La lah

Sababu Nakupenda shana

Timu timu nawakataa

Tatizo nimezidi uzuri

Ndomana unateswa na wivu

Ila mchuchu usijali

Handsome huyu ni wako tu

Tatizo nimezidi uzuri

Ndo mana unateswa na wivu

Ila mchuchu usijali pisi kali huyu ni wako tu

Ni wako tu

Watch Video

About Uzuri

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Farida
Published : Apr 10 , 2025

More BUKI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl