
Ndoa Lyrics
...
Ndoa Lyrics by BUKI
Jazzy akeee
Nime ikubali ndoa
Kwa mahari tuliyokubaliana
Nilikesha
Nikaomba dua
Mola anipe wa kufanana
Eti walimuita King'ang'a
Hapendwi, anang'ang'ania
Wapambe wakanong’ona
Aolewi, anachezewa
Hajalipiwa masahafu
Mahari ametolewa
Ma-Ex mtapata tabuJ, iko nimelifungia
Nimedata na joto lake
Ndiyo maana nikaitaka ndoa
Niliweka oda kwa Muumba wake
Huyu kijana kuniletea
Eti wifi hajui kupika Sijaolea familia
Mara shemeji kijuso Sijaolea familia
We Masudi, Silimisha
Faza Mauji Sikia midundo
Twende hapo hapo hapo hapo
Isha Mashauzi
Raha ya kula wali
Uanze na matandu, kisha ukoko
Mapenzi ni ufundi
Hata uishie kimoko
Ukipewa kopo la sukari
Nailambaaaa
Ohhh sukari nailamba
Mama sukari nailambaaaa
Woooow! Sukari nailamba
DJ Kidogodogo
Mwambie Dullah MakabilaAache sifa
Ndoa si jambo dogo
Aulize Manara na Zailisah Mama
Kopo la sukari nailambaaaa
Wowoo! Sukari nailamba
Aaiii wee sukari nailamba
Wowoo! Sukari nailamba
Wewe ni Mtanga au Mzaramo
Kwani wewe unaonaje
Ama ni Mmakonde
Wewe unaonaje?Ebu tuonyeshe
Alegigigigigigigigigigigigigigi
Wazee wenzangu
Tuwarudishe watoto wa elfu mbili shule
Dozeeeee
Krekeketakrekeketaaaa
Ewaaaaah! Eeeeeeeeh waaaah
Jemapelle Buki
Papaaa tindwaaaa!Papasa kitambi, papasa!Oooh papasaaa
Saidi Lugumi papasa
Weeeh Superfelo
Papasa!Bibi Saida
Papasa!Khadija Kopa
Papasa!Kama umelipa kodi
Papasa!Umelipa vikoba papasa
Hayakusumbui mapenzi papasa
Mjini uishi kwa kudanga papasa
Haya sasa, waige na huku
Watch Video
About Ndoa
More BUKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl