Somaga Lyrics
Somaga Lyrics by NAIBOI
Aaah woi yoyo
Yeyeye lelelele yoyoyo
Ooh when am with you
Now you are busy on your phone
Ooh when am with you
Now you are busy on your phone
Zako ma Whatsapp,zako ma Insta
Nikituma ka DM, zangu unapita
Nasema zako ma Whatsapp, na zako ma Insta
Nikisukuma ka DM, zangu unapita
Girl,wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Ooh, when you are on your phone
I loose my composure
Ka jealousy kanaaza kunichocha
Na loose my mind, na loose control
Kisiri naumia roho
Na ukishika simu mimi nakuudhigi on the low
Na nikizusha unanuna nuna,
Tena unanuna sana
Oooh unaanza kuzusha zusha
Hauna huruma bana
Ooh when am with you
Now you are busy on your phone
Ooh when am with you
Now you are busy on your phone
Zako ma Whatsapp,zako ma Insta
Nikituma ka DM, zangu unapita
Nasema zako ma Whatsapp, na zako ma Insta
Nikisukuma ka DM, zangu unapita
Girl,wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Mimi si number 2,
Am always there for you
So put your phone down
Coz beiby am vibing with you
You can have my passcode
Ooh beiby give me yours
Una chat noma (ah uh)
Waleta za kunitoka wewe
Basi beba mzigo(yeah yeah yeah)
Hapa duniani ni malipo(yeh yeh yeh)
Twende kwa Disco (yeh yeh yeh)
Tukacheze calypso (uh uh)
Come slowly, whine for me
Usilete noma usijae ngori
Come slowly, whine for me
Usilete noma usijae ngori
Ooh when am with you
Now you are busy on your phone
Ooh when am with you
Now you are busy on your phone
Zako ma Whatsapp,zako ma Insta
Nikituma ka DM, zangu unapita
Nasema zako ma Whatsapp, na zako ma Insta
Nikisukuma ka DM, zangu unapita
Girl,wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Wewe bana,
Wewe ah wewe nishakusomaga
Watch Video
About Somaga
More NAIBOI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl