Niteke Lyrics
Niteke Lyrics by HARMONIZE
I want to keep you
I no got let you
Nishafunga na zipu
Kwingine nishasema no
Acha nikusifu
Uzuri wa nyumba choo
Naulivyo nadhifu
Sipati vidonda vya koo
If you leave me I go die
I go die my beiby
Na ukinipenda nitajidai
Nitajidai my beiby
Oooh...nakoma na zako
Kachiri kachiri, ukibinuka binuka
Eeeh....kivumbi na jasho
Wawili wawili, kwenye mashuka mashuka
Asa beiby, niite(uniteke, unitekenye)
Nicheke kama mtoto(uniteke,aaah beiby nitekenye)
Apo ndo penye(uniteke, unitekenye)
Ninenepe kama mpoto(uniteke,aaah beiby nitekenye)
Mmmh
Macho yake lungu lungu akinitazama
Nami nageuka nungu nungu, miiba inasimama
Macho yake lungu lungu akinitazama
Nami nageuka nungu nungu, miiba inasimama
Eeh fanya wazi unachotaka zidisha kunipenda
Ila kuna paparazzi na Basata
Tusichapane madenda
Oooh...nakoma na zako
Kachiri kachiri, ukibinuka binuka
Eeeh....kivumbi na jasho
Wawili wawili, kwenye mashuka mashuka
Asa beiby, niite(uniteke, unitekenye)
Nicheke kama mtoto(uniteke,aaah beiby nitekenye)
Apo ndo penye(uniteke, unitekenye)
Ninenepe kama mpoto(uniteke,aaah beiby nitekenye)
Asa beiby, mimi nataka nikukande
(pindaa, pinda mgongo pinda)
Yaani pinda nikukande
(pindaa, pinda mgongo pinda)
Unishikilie, nami nikugande
(pindaa, pinda mgongo pinda)
Aah pinda pinda mgongo,
Ebu nipe nikukande,yaani nikukandeee...(chii chii)
Watch Video
About Niteke
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl