KUSAH Kelele cover image

Kelele Lyrics

Kelele Lyrics by KUSAH


Oooh yeah yeah yeah yeah...
Oooh yeah yeah yeah yeah...
Ooh oooh ooh...

We umenikaa, umenikaa kwa roho
Nafsi mpaka akili yangu
We dada umenibamba (Mmmh..mmh mmh)

Oooh darling, 
Alafu tumetokaga mbali(mmmh)
Sioni dalili ya kukuumiza ukalia

Alafu darling,
Mwenzako nakupenda kweli(mmmh)
Tufike wawili, sitaki mwingine kwa safari

Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga(mmmh mmmh)

Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga(mmmh mmmh)
Umenishika kichwa, umeninyonga

Ila kelele lele, bwana kelele lele
Kelele lele, bwana kelele lele
Oooh kelele lele, bwana kelele lele
Kelele lele, bwana kelele lele

Wale walinidhulumu, 
Nikawapa waka wakaiba
Ukaifuta na sumu
Ukaijenga na huba..

Baba baba niongezee
Nipe vyote nikumbatee
Na mahaba nipe yotee
Wale wasinikamate(iyee)

Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga(uuuh...)

Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga(mmmh mmmh)
Umenishika kichwa, umeninyonga

Ila kelele lele, maneno ya kando kando
Bwana kelele lele, hayanaga mipango
Kelele lele, yatakwisha mama
Kelele lele,(iye iye iye)

Oooh kelele lele, maneno ya kando kando
Bwana kelele lele, hawanaga mipango
Kelele lele, yatakwisha baba
Kelele lele,(iye iye iye)

Maneno ya kando kando
Hayanaga mipango
Yatakwisha mama
(iye iye iye)

Watch Video

About Kelele

Album : Kelele (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 26 , 2019

More KUSAH Lyrics

KUSAH
KUSAH
KUSAH
KUSAH

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl