Slidin Lyrics
Slidin Lyrics by NAIBOI
Umebeba size yako
Umebeba hauna presha
Unatuliza roho
Hata nitoe roho
Na we ni mtoto wa Kariokor
Njoo tutese Ungwaro
Nafeel kama nimefall
Ikam na sijiwezi no
Nafeel kama nimefall
Ikam na sijiwezi no
Nimeteleza (Slidin slidin, slidin slidin)

Alete tuweke tutese
Ah Naiboi daily ni mimi na wewe
Alete tuweke tutese
Ah Naiboi daily ni mimi na wewe
Mtoto very sweet ka kuku za Sanford
Huhitaji sauce wala salt nayo nayo
Kwanza ukiwa moshi na yako kamnyweso
Hatuna though oh no no till they break or dawn
Nafeel kama nimefall
Ikam na sijiwezi no
Nafeel kama nimefall
Ikam na sijiwezi no
Nimeteleza (Slidin slidin, slidin slidin)
Nimeteleza (Slidin slidin, slidin slidin)
Nimeteleza (Slidin slidin, slidin slidin)
Nimeteleza (Slidin slidin, slidin slidin)
Alete tuweke tutese
Ah Naiboi daily ni mimi na wewe
Alete tuweke tutese
Ah Naiboi daily ni mimi na wewe
Nafeel kama nimefall
Ikam na sijiwezi no
Nafeel kama nimefall
Ikam na sijiwezi no
Nimeteleza (Slidin slidin, slidin slidin)
Nimeteleza (Slidin slidin, slidin slidin)
Nimeteleza (Slidin slidin, slidin slidin)
Nimeteleza (Slidin slidin, slidin slidin)
Watch Video
About Slidin
More NAIBOI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl