Kisebusebu Lyrics
Kisebusebu Lyrics by BEN POL
Kisebusebu wee, kisebusebu wee
Kisebusebu wee
Kisebusebu wee, kisebusebu wee
Kisebusebu wee
Mwenzio roho yangu
Ilianza kutakata kwako wee
Na we ndo mboni yangu
Na ndo kibanda nilijificha kwako wee
Unawaza ni? Kwanini?
Mbona wee hueleweki
Mara juu mara chini
Kwani tatizo ni nini?
Ndo maana kwenu hukunipeleka
Ulisita sita
Na nishatangaza ndoa
Ila bado nina mapicha picha
Ndo maana kwenu hukunipeleka
Ulisita sita
Na nishatangaza ndoa
Ila bado nina mapicha picha
Mara nataka ndoa nawe
Mara sitaki nimeghairi
Mara nataka tuoane
Mara ngoja kwanza subiri
Mara nataka ndoa nawe
Mara sitaki nimeghairi
Mara nataka tuoane
Mara ngoja kwanza subiri
Kisebusebu wee, kisebusebu wee
Kisebusebu wee
Kisebusebu wee, kisebusebu wee
Kisebusebu wee
Kukuhesabu mema yangu wee
Kwako ni bure
Pengine sijui mapenzi
Labda nitafute shule
Unaniongezea mastress na bado nitafute tule
Sometimes nawaza hivi ni chumba au msukule
Uko sawa na malaika aliimba Nyashinski
Sometimes uko Online na simu zangu bado hushiki
Sim sim za kiroho babu utanitoa roho japo
Sisemi kitu kwako, wakati nadumisha mapenzi unanitoa jasho
Nimekumeet sikuelewi
Ama unanipenda nikuvumilie
Unanichanganya sikuelewi
Mara unataka tuachane
Mara nataka ndoa nawe
Mara sitaki nimeghairi
Mara nataka tuoane
Mara ngoja kwanza subiri
Mara nataka ndoa nawe
Mara sitaki nimeghairi
Mara nataka tuoane
Mara ngoja kwanza subiri
Kisebusebu wee, kisebusebu wee
Kisebusebu wee
Kisebusebu wee, kisebusebu wee
Kisebusebu wee
Mara nataka ndoa nawe
Mara sitaki nimeghairi
Mara nataka tuoane
Mara ngoja kwanza subiri
Watch Video
About Kisebusebu
More BEN POL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl