Si Huchanga Lyrics
Si Huchanga Lyrics by MAVO ON THE BEAT
Changa Changa
Willy M T, Kama K Kama D (YOOOH)
Si huchanga Si huchanga (Huuuuuuuh)
Changa Changa, Changa Changa
(Rada Rada)
(Mavo on the Beat)
Yooh! Kama unataka tei, Mi pia nataka tei
Huku buda rada ni ati si Huchanga
Yooh! Kama unataka tei,Mi pia nataka tei
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga (Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Roga roga saa zingine mi hujiganga
Utajikata hapa kaa ujajipanga
Na sijadishi lakini sura dimanga
Na bila meno mziki niling'oa nanga
Chrome wengine wachange zile za ndom si mukuom
Location nimetuma nimepin hapa home
Kalesa kaa unawesa juu kuchanga ndo fom
Double vodo kaa unaweza omba loan
Burn burn kaa ni picha
Tuna burn, zikilipuka tunabonga vitu silly
Huezinipata na wasichana
(Uongo wacha kujifanya zimeshika)
Yooh! Kama unataka tei, Mi pia nataka tei
Huku buda rada ni ati si Huchanga
Yooh! Kama unataka tei,Mi pia nataka tei
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga (Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga (Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku rada bratha ni pang'ang'a hukuanga blander
Juu unaeza kanyagwa bladder uki try kubanja takataka
Si'tna changisha kamkwanja kakushika mzinga ya kwanza
Ka unajua unakata waba kanja ama unakanyaga ( Anyway!)
Drink together pay together, DTPT, iyo ndio fom
Members wa the female gender,Kibiriti, chronicles
Mfuko Ina ki condico, nyonginyo Ina ombitho,
Onjivo wa hizi area miuchoma kwa corridor (Huh!)
Mkurugenzi wa Jiji his Excellency, (Huh!)
Kiongozi Mr shillingi mapeny plenty, (Huh!)
Kamnyweso bei ya simiti huchangishi any
Siushikisha daily na mamorio Wana kamfuko heavy (Huh!)
Yooh! Kama unataka tei, Mi pia nataka tei
Huku buda rada ni ati si Huchanga
Yooh Kama unataka tei,Mi pia nataka tei
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga (Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga (Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Yeah! Kama kawa nikukuita , me huperform
Kama bei hatuwezi fika , tubuy chrome
Hawa marapper nawapita joh by force
Ngoma zao hatuwezi skiza 254
Si huchanga Si huchanga
Nasichangi na mafala juu ya swara
Na kama joh uko na kegula , wee mwaga
Me hupiga kila kitu, siwezi jifanya
Me bado hustler, pombe ni Pombe
Buda kama joh uko sober niombe,
I'll take you to makali shop
Na zikishika bana buda nigome (Aaaai)
Yooh! Kama unataka tei, Mi pia nataka tei
Huku buda rada ni ati si Huchanga
Yooh! Kama unataka tei,Mi pia nataka tei
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga (Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga (Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Yooh) Sineed kujiintroduce,
Kila mtu anajua mimi ni Willy M T
Swaga fresh bado Willy Tuva down to earth,
Nalea vipaji, mi ndio mzazi after birth
Kama unabisha, basi afterthat
Nakuchanga Nakupanga mi ndio aftermath (yooh)
Watch Video
About Si Huchanga
More MAVO ON THE BEAT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl