Magwiji Lyrics by MAVO ON THE BEAT


Yaani niko mangwai mpaka naji admire
Na kitu inanibamba ni ati nishateka Maya
King kwa hii scene na unaeza finya repeat
Na vile nimekaza beat nimepull up na genge mature
(Mavo on the Beat)

Kuomoka ati ni tizi
Tunainua hii crown nyi inueni misuli
Heshima idumu tukibonga ni sumu
Doba inagonga we sikizia machungu

Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Huku ni machampe na magwiji tupu

Mainchic kama kawa huwa sineed campaign
Main ni -- the rest wanaraise curtain
Punchline hadi hater anafeel some pain
Ki Simple Boy uchungu kwa buruwein

Tunanahika we ni gwiji na champe
Asha kishash bora mi unipe champagne
Msee wa power ukineed but itokee
Ni Sosuun aka mistari Tycoon

Ngumi mbili kwa wazito gota o
Venye tunapiga wera jo hakuna kuchocha
Hatupendi vioja twavuka border
I mean after this ni kuwin kuwin
Alafu winner nafanya nafanya ma mimi sitaki madrama
Niko juu we unahate na bado uko under men
Mi ni bazu we bado ni kijana 
Teka cheap win buda punguza kujigamba

Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Huku ni machampe na magwiji tupu

Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Huku ni machampe na magwiji tupu

Gwiji nikikanyaga jiji 
Ni piji bila mita mimi siji
Ku pedekale now they call me kungfu
Unachotaka unapewa, sote ni full mahewa
Juzi tu niliwazima chuku chuku
Seti tupunguze mafua, washa nduku chukua
Babe sasa sambua, magwiji tunakamua
Hater ka kitumbua, ngoto nawasugua
Safi tushachanua,  fuasi najichukua

Ongeza na nduru lakini mi si Cocos
Ni kama reggea nobody can stop us
Sipendi beef mezeni jo ni macactus
Unadictator buda we ni fan bila purpose

Sikia Mavo hio ngoma imebeat
Najua hujaget hii ni Mavo on the beat
Sick shit son take a sit
Wakichora saba wako bado ako six

Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Huku ni machampe na magwiji tupu

Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Magwiji na machampe, magwiji na ma
Huku ni machampe na magwiji tupu

Tunawapatia mangeus tunawabebea mambo
Tunawafanyia vela tu ndo atavuta

 

Watch Video

About Magwiji

Album : Magwiji (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 01 , 2021

More MAVO ON THE BEAT Lyrics

MAVO ON THE BEAT
MAVO ON THE BEAT
MAVO ON THE BEAT

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl