
Amepotea Lyrics
...
Amepotea Lyrics by MBOSSO
Vipeperushi vinasambaa
Eti natafutwa aah
Nimepotea wiki imekata
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta aah
Nimepotea mwezi umekata
Kazini sionekani yupo wapi huyu
Simuni sipatikani yupo wapi huyu
Baba kaniulizia yupo waapi huyu
Mama haishi kulia
Yupo wapi huyu mimi
Nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
Nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
Sio andit purrer mwana Rajab mlomkuta
Tanga sijafanywa msukule msipate tabu
Kumaliza waganga
Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
Penzi lawa sasa mbule lenye protini vitamini na wanga
Aaah ladha yake, si sukari, ni vichenza na malimao
Mechi zake huwa hatari, ni chenga na mabao
Kazini sionekani yupo wapi huyu
Simuni sipatikani yupo wapi huyu
Baba kaniulizia yupo waapi huyu
Mama haishi kulia
Yupo wapi huyu mimi
Nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
(Msinitafute, msihangaike nipo salama)
Nimezama katikakina kirefu cha bahari ya mapenzi
Watch Video
About Amepotea
More MBOSSO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl