Chomeka Lyrics

DRAGON Tanzanie | Bongo Flava,

Chomeka Lyrics


Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka(Oya eeh)
Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka
 
Let me do , let me do yah
Let me do, le me do let me do let do yah
You are my boo, your my boo
Your my boo come closer I wanna hold yah!
 
Sing'atuki tunagandana
Cheki mpaka sura zinafanana(Eya!)
Tunda langu usije litoa
Changanya miguu cheza pouwa

Slow slow baby nipe kwa ivi
Ayaya, yani mtoto mzuri 
Tunaelewana, tumeshashibana
Yani penzi kama kamba tumeshafungana

Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka(Oya eeh)
Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka(Oya eeh)

Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka(Oya eeh)
Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka

Yaani kachiri saga saga(Kachiri saga saga )
Kwenye penzi sina woga(Oo sina woga)
Nakanyaga kinaga ubaga
kinaga ubaga baga baga

Uno la kichaga linavunja chaga!
Ukilicheza vanga unanichanganyaga!   
Oooh ooh napanda kichaa 
Unavyozungusha kama mshale wa saa

Oooh!
Natamani nikueke password(password!)
Ubaki kwangu so special(Special!)
Au tuhamie Mars(Oooh mars oo mars)

Tunda langu usije litoa
Changanya miguu cheza pouwa

Slow slow baby nipe kwa ivi
Ayaya, yani mtoto mzuri 
Tunaelewana, tumeshashibana
Yaani penzi kama kamba tumeshafungana

Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka(Oya eeh)
Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka(Oya eeh)

Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka(Oya eeh)
Chomeka! Kama kole katika 
Sambasolt binuka, kama puto pasuka

DRAGON (3 lyrics)

Dragon is a Tanzanian rising star. Dragon featured Pierre Liquid "Konki Master" in April 2019 in their song "Kesho"  which rose drastically to the top bringing  Dragon to the limelight.

Leave a Comment