
Swahiba Lyrics
Swahiba Lyrics by DRAGON
Najua una ndoto toka mtoto
Upo shule
Ila ni changamoto ndo uko hapo
Simama twende
Umechapika viboko vya matatizo uwoo
Toka kule
Liko karibu yako basi la faraja
Panda twende
Kwanza pandisha mrege
Suruali weka sawa
Alafu nikuelezege
Mambo yatokuwa dawa
Unasubiri upewe pesa na serikali yako
Nayo inasubiru kujengwa na nguvu zako
Serikali namba moja kichwa na mwili wako
Na mtaji tosha uzima, nguvu na afya yako
Pambana ukitoe kitaa kitaa
Hakina cha kukutoa swahiba yeah
Unatakaje? Sema sema
Sema iweje? Sema sema
Huenda hutolala tena
Hutaamka tena yoh, sema sema
Huenda utachange kidogo
Change kidogo, sema sema
Hakuna haja kukuchana
We bado ni kijana na una nguvu
Miaka inakwenda kasi sana
Fanya vya maana, acha uvivu
Kutwa kucha kwenye vijiwe
Acha iyoo, aaah
Kuharibu watoto wa watu
Lugha zako chafu iyoo, aah
Unajua kwamba kesho wewe ndo mzazi
Unajua kwamba we ndo taifa tegemezi
Unajua kwamba tegemeo kwa wazazi
Unajua kwamba
Tusipoongea sisi ataongea nani?
Kidole kila siku uwe wewe tu
Kwani wewe nani?
Kwanza pandisha mrege
Suruali weka sawa
Alafu nikuelezege
Mambo yatokuwa dawa
Unatakaje? Sema sema
Sema iweje? Sema sema
Huenda hutolala tena
Hutaamka tena yoh, sema sema
Huenda utachange kidogo
Change kidogo, sema sema
Watch Video
About Swahiba
More DRAGON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl