
Asumani Lyrics
...
Asumani Lyrics by MBOSSO
Good good good
Adhana imeadhiniwa muadhini anaita
Kumepambazuka alfajiri
Naitwa kwenda kushali mi nawaza pirika
Chai nitakunywa nini saa mbili
Harage jero, chapati jero energy jero
Naishushia kwa juu
Mfukoni tero nyumbani kero
Vita ya urithi moto wa kifuu
Aaah asumani, asumani
Ni mwanangu sanaaa
Asumani asumani tunaaminiana
Asumani kanisimamisha aniambie
Kuna mchongo wa ela anigaie
Asumani kanipa mzigo nimshikie
Ghafla kapaza sauti nikimbie
Asumani asumani
Kibegi chako chanipeleka segerea asumani
Asumani asumani
Kibegi chako chanipeleka mahakamani asumani
Ooh asumani asumani
Wewe asumani mi naenda segerea
Ooh asumani asumani
Familia yangu nani atailea
Aah faridy mtu peace
Msalimie yusuph kilungi
Eeeh mwambie asumani hii kwa niaba
Watoto wa smoke zone
Mshedede
Mwenyewe anajiita chata
Mwenyewe anajiita namba chafu
Mwenyewe anajiona kapagawa
Mwenyewe anajiona sela mavi
Wenzake wanakula fegi ye kataka ballcone
Wauani wanakula fegi ye kataka ballcone
Chiiii
Mwenyewe anajiita chura
Mwenyewe anajiita mama amina
Mwenyewe anajiita toto tundu
Eti anajua misamba
Eti anataka iphone na ndani anachupi moja
Eti kanuna kisa iphone na ndani anachupi moja
Haya sugua nsindaba
Sugua nsindaba baba
Sugua nsindaba
Sugua nsindaba baba
Sugua nsindaba
Sugua nsindaba baba
Jamani mi nataka niseme (sema)
Wahuni minataka niseme (sema)
Wanangu mi nataka niseme
Oooh mi nataka niseme (sema)
Mwenzenu bia silewi nileteeni double kiki
Muoneni chura kagoma kasema eeeh haipiti
Haya mguu pande, mguu sawa
Oya mguu pande, mguu sawa
Wauni mguu pande, mguu sawa
Oya mguu pande, mguu sawa
Hii beat ya singeli uyo good amepiga regge
Kwenye beat ya singeli uyo good amepiga regge
Piga regge
Nobody can stop regge
Nobody can stop regge
Nobody can stop regge
Nobody can stop regge
Nobody, nobody
Nobody can stop regge
Nobody, nobody
Nobody can stop regge
Watch Video
About Asumani
More MBOSSO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl