Pilipili Lyrics by MATONYA

Mi natamani moyo ungekuwa kiwanja
Ningekupa ujenge
Kama ruby, dhahabu, ndio ticket
Ningechimba kwa jembe

Ulivyo umbika mamaa
Nyuma kama mlima eeh
Usije niacha na ndoto kwenye kona
Haki ya nani nitazima

Mi ndo wako mtimaa maa
We dumuzi nimalizee(nimalizee eeh)
Sitaki nikukosee 
We nimalize aaai

Pilipili wewee(pilipili inaniwasha)
Pilipi Pilipi(pilipili inaniwasha)
Pilipili wewee(pilipili inaniwasha)
Pilipi Pilipi(pilipili inaniwasha)

Hata ukiweka kwa maji 
Bado tu inaniwasha
Ukichombeza na ndizi je?
Bado tu itaniwasha

Penzi letu liwe siri(tarama)
Kuepusha majangili(tarama)
Wasije pora watanikili(tarama)
Nishinde mkono wa shavu sio dili(tarama)

Nina mipango mingi nawee
Tokea zamani
Ugomvi wa simu tupa kulee
Kizamanii

Aii baby mi nawee(nichum chum)
Wali tupakulee(nichum chum)
Eh mi nawee(nichum chum)
Baby mpaka kulee

Aii baby mi nawee
Wali tupakulee
Eh mi nawee
Menya ndizi nilee

Pilipili wewee(pilipili inaniwasha)
Pilipi Pilipi(pilipili inaniwasha)
Pilipili wewee(pilipili inaniwasha)
Pilipi Pilipi(pilipili inaniwasha)

Hata ukiweka kwa maji 
Bado tu inaniwasha
Ukichombeza na ndizi je?
Bado tu itaniwasha

Pilipili wewee(pilipili inaniwasha)
Pilipi Pilipi(pilipili inaniwasha)
Pilipili wewee(pilipili inaniwasha)
Pilipi Pilipi(pilipili inaniwasha)

Aii baby mi nawee(nichum chum)
Wali tupakulee(nichum chum)
Eh mi nawee(nichum chum)
Baby mpaka kulee

Aii baby mi nawee
Wali tupakulee
Eh mi nawee
Menya ndizi nilee

Nichum chum
Nichum chum
Nichum chum
Nichum chum

Music Video
About this Song
Album : Pilipili (Single),
Release Year : 2019
Copyright : (c)2019
Added By: Huntyr Kelx
Published: Jul 31 , 2019
More Lyrics By MATONYA
Comments ( 0 )
No Comment yet