MATONYA Sio Fresh cover image

Sio Fresh Lyrics

Sio Fresh Lyrics by MATONYA


Aaah aah...eeh
(Its Vanilla Flavour)
Ayee iyee, wowowoo ayaya aya

Vipi ni nini jicho, nilichokosea
Kaniweka gizani iii iii ii
Ata siamini moyo, nitakufuata ulipo
Umenitupa gizani iii iii ii

Na mwili hutetema 
Ukinijia akilini
Mi kwako mvuta njema 
Njoo nikuvushe mbinguni

Hivi ni nini mapenzi 
Kunipa kilema aah
Nikupe hili tonge 
Badala ya kumeza unatema aah

Mama sio freshi
Sio freshi
Mama sio freshi
Sio freshi

Nihurumie 
Njoo unikinge kwa baridi sina mbawa
Masikini mie
Nishaona wengi ila we ndo yangu dawa

Sio freshi mama
Sio freshi ma-ma
Sio freshi mama
Sio freshi ma-ma

Sio freshi mama
Sio freshi ma-ma
Sio freshi mama
Sio freshi ma-ma

Iyee iyaa, Ah Naiboi
Mtu mzima mi nalia
Moyo wangu ushaumia aah
Nashindwa kuvumilia
Mwisho ndio unakaribia

Si hadi you be my 2 in 1 now
Sasa problems what a gwan?
Wanidunga usiku mchana
Na mshale rama yangu 

Come come closer beiby show me love
Naambiwa na mafans utanipoteza
Na sio fresh
Napiga, unalenga, ukishika unakata
Unafanya nahema na sio fresh

Ni wewe ndio napenda
Na we ndo wanitenda 
Ka hii ndio ajenda
Hiyo sio fresh

Mama sio freshi
Sio freshi
Mama sio freshi
Sio freshi

Nihurumie 
Njoo unikinge kwa baridi sina mbawa
Masikini mie
Nishaona wengi ila we ndo yangu dawa

Sio freshi mama
Sio freshi ma-ma
Sio freshi mama
Sio freshi ma-ma

Sio freshi mama
Sio freshi ma-ma
Sio freshi mama
Sio freshi ma-ma


About Sio Fresh

Album : Sio Fresh (Single)
Release Year : 2019
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 11 , 2019

More MATONYA Lyrics

MATONYA
MATONYA
MATONYA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl