Iyo Iyo Lyrics by MATONYA


Mbele ukitingisha ndo napata taabu
Maneno namung'unya kama vile bubu
Changa runyamira vile unavyoniadhibu
Mguu kwenye boost unanipa taabu, uuh

Mikato mikato toto changa ricaldo, ricaldo
Sauti kwaya chilambo, chilambo
Kwenye bad movie ya Rambo, ya Rambo

Kuja nikufunze mi minong'ono
Vile nanong'ona kifuani
Nikutupe tupe ulale ka pono
Room ujikute huko kunani

Kuja nikufunze mi minong'ono
Vile nanong'ona kifuani
Nikutupe tupe ulale ka pono
Room ujikute huko kunani

Ndo iyo iyo iyo iyooo, aah
Ndo iyo iyo iyo iyooo
Ndo iyo iyo iyo iyooo
Ndo iyo iyo iyo iyooo

Ka perfomer kiungo machachari
Ya kitaa goma, kitaa noma
Far show ma 
Na hamza kuzishusha mamaooo

Mr bombastic oooh
Na nina bomba stick
Sina mechi za kirafiki
Weka mziki niweke mziki ooh

Jiki jiki 
Beiby I'm not the one you got
Nikilala mi mdeadly wouwo

Haukimiliki mpenzi
Michabo haishiki penzi
Na nimechange namba, so

Kuja nikufunze minong'ono no
Vile nanong'ona we ikamie
Nikutupe tupe ulale ka pono
Room ujikute uko nami

Ndo iyo iyo iyo iyooo
Kuja nikufunze minong'ono
Ndo iyo iyo iyo iyooo
Vile nakoroma we utaumia

Ndo iyo iyo iyo iyooo
Nikutupe tupe ulale ka pono
Ndo iyo iyo iyo iyooo
Room ujikute uko na nani

Watch Video

About Iyo Iyo

Album : Iyo Iyo (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 04 , 2020

More MATONYA Lyrics

MATONYA
MATONYA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl