Kiberiti Lyrics by FID Q


Haueleweki hata uki-shine kwa punchlines on Facebook
Haiwi fine kama rayvan, wewe fake tu
Sikuoni B.E.T au MTV wakiplay tunes
Maka nenda wewe msanii, mc una play tu
Makida, wewe sio king kama kiba
Sio yaoming kwenye ring (una)
Mistari mingi Zaidi ya zebra?
Mxiiew, una zingua nigga
Hauja jjua nigga
Umeanguka pua, bishoo hauwezi kuwa jigga
Rent mwezi ujao na haujalipa school fees
Ya wanao, unaumiza kichwa ewe Q-Fid
Till now hauioni future, wewe stupid haujapiga bao
Na kutwa unawaza groupies?
Pengine ni nuksi, ume jiletea au chuku
Ume jijengea, haukumbuki ulipotokea bro
Wabaya mauzushi, wanayachochechea haustuki
Ushapoyea wakushi wanakutetea bro
Unakosea bro, ni kwzli hauna spea bro
Kuplay fair, ,ikuwachezea ikatokea droo
Kukutegemea bro, hatuwezi tutakuonea bro
Tusha jionea ulivio mlevi, ukaikosea show

Kiberiti, ninakuona unavyoniwashia moto mie aye
Kiberiti, ninakuona unavyoniwashia moto mie ayee
Aii ma mama
Kiberiti
Aii ma mama

Nikiwa alone in my room
Sometimes i stare at the door and in the back of my mind
Naziita hisia hebu njoo
Zinaincha zinaniambia hii dunia ni soo
Haiko sweet kama dov, I see I need love
Tazizo lako hautaki kuuza maneno
Legeza ka wenzako acha kutukuza misemo
Sheria ni yako ila isiuache umsumeno
Ukijikuna tako, usikate kucha kwameno
Ongea usikike au kaa kimya usidharaulike
Au utupishe na jina lisahaulike
Tulazimike kukuzima ili itulipe, gwa jima
Tumuite aje kukupima heshima bashite
Nje ya town, show huwa zina group ya kiwaki
Kaza crown ibaki ukikaza sana hawataki
Tuna jua una uwezo juu, una kismati
Na haujawahi kupigwa basi una jiona tupaaaaci
Kabla ya rotten brothers ulikua na chepe
Two nature boys ndiko ulikoanza makeke
Mwaka huu, mwaku wee mwaka
Ikakuweka juu ikawa Q hakuna asiyemtaka wall
Lini uta retire urudi kuuza mtumba lango
Una roho mbaya, hadi leo haujamkumbuka rado ?
Wewe sio kichwa, wewe unaweza fichwa
Ikichorwa hio hop, siioni sura yako picha

Kiberiti, ninakuona unavyoniwashia moto mie aye
Kiberiti, ninakuona unavyoniwashia moto mie ayee
Aii ma mama
Kiberiti
Aii ma mama

Fid Q nikihulize hivi
Siri yako nini, kuishi kwenye game muda mrefup eeh ?
Kwanza una jua, mie huwa sichukulia vitu personal
Ukiniponda sichukulie personal, ukinisifia sichukulii personal
Nilicho jifunza ni kwamba usichukulie kil akitu personal
Na zaidi, ufunze ubongo wako kung’amua jema
Kwenye situation yoyote ile
Na hivi ndio vitu ambavyo don miguel kwenye kitabu chake cha
The four agreements ameviogelea

Kiberiti, ninakuona unavyoniwashia moto mie aye
Kiberiti, ninakuona unavyoniwashia moto mie ayee
Aii ma mama
Kiberiti
Aii ma mama

Ninashangaa
Kumbe wanadamu ndivyo walivyo
Kumbe wanadamu ndivyo walivyo
Aii ma mama
Aii ma mama
Ninashangaa
Kumbe wanadamu ndivyo walivyo

Watch Video

About Kiberiti

Album : Kiberiti (Single)
Release Year : 2020
Added By : Farida
Published : Aug 24 , 2020

More FID Q Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl