Umeniweza Lyrics

KAYUMBA Feat LINAH Tanzanie | Bongo Flava,

Umeniweza Lyrics


Umeniweza baba, umeniweza mama

Tulivuka viunzi pamoja
Kwa kushikana mikono
Ukawa upande yangu mwili mmoja
Hatukuishia kwenye midomo

Shida matatizo tulivuka pamoja
Haukunitupa mikono
Ukanifunza mapenzi njia moja
Michepuko ina vikomo

Kupagawa na hili jibu kati yaani
Tamaa hukuipa nafasi yaani
Ukanitia moyo nitapata nami
Kwani ridhiki nitawaji maanani

Kupagawa na hili jibu kati yaani
Tamaa hukuipa nafasi yaani
Ukanitia moyo nitapata nami
Kwani ridhiki nitawaji maanani

Nijivunie nani 
Kama si wewe
Mengine sitamani
Vyote napata kwako wewe

Ooh unajua kunichombeza
Ooh hodari wa kubembeleza
Ooh wewe pekee unaniweza
Ooh kama mboga na kombeleza 

Ooh unajua kunichombeza
Ooh hodari wa kubembeleza
Ooh wewe pekee umeniweza
Ooh ukinishika najilegeza

Umeniweza baba, umeniweza mama
(Oooh)

Tabasamu mpenzi wangu 
Tujenge family sasa
Uwe baba wa wanangu
Nikuzalie mapacha

Una kisu kikali
Kula nyama usijali
Si unajua silali
Bila kufika safari

Tule chumvi na tufike uzee
Wa minye minye nyanye tuwapuuze
Kabla kulala unipige zeze
Kitandani mimi nibembeleze

Nijivunie nani 
Kama si wewe
Mengine sitamani
Vyote napata kwako wewe

Ooh unajua kunichombeza
Ooh hodari wa kubembeleza
Ooh wewe pekee unaniweza
Ooh kama mboga na kombeleza 

Ooh unajua kunichombeza
Ooh hodari wa kubembeleza
Ooh wewe pekee umeniweza
Ooh ukinishika najilegeza

Kunichombeza
Kubembeleza
Umeniweza
Kama mboga na kombeleza 

Kunichombeza
Kubembeleza
Umeniweza
Ukinishika najilegeza 

Leave a Comment