Sugar Lyrics
Sugar Lyrics by JAY MELODY
Sweet like a kuku
Tamu sana
Sweet like a soup
Am going to die
Kwenye dimbwi sijiwezi
Nimezama
Mi corazon
My baby banana
Penzi hulifichi kama ni sindano
Itachoma
Mi siambiliki hata wakaniroge
Kigoma
Ukiugusa mwili wangu
Nashituka moyo paah
Mpenzi wangu nishike
Nisije nikapaa
Kama mvua na mawingu
Kama mwezi na anga
Sina jambo
Kwa jinsi
Umenikamata
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Sugar sugar sugar
Mmmh mmh
Nikoleze my darling eh
Na tukichoka tuka lale
Wanasema hatari eh
Lakini me nimekubari eh
Kileleni ndo pale
Basi tufike sare sare
Shika ndizi mshare
Nikuvue kama kambale
Vile hawapumui
Wakerekwa maadui
Hao wanafki
Watajua hawajui
Ukiugusa mwili wangu
Nashituka moyo paah
Mpenzi wangu
Nishike nisije nikapaa
Kama mvua na mawingu
Kama mwezi na anga
Sina jambo
Kwa jinsi umenikamata
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Sugar sugar sugar
Watch Video
About Sugar
More JAY MELODY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl