
Mbali Sana Lyrics
...
Mbali Sana Lyrics by ZABRON SINGERS
Nimekaa nimetulia, nikaikumbuka misukosuko ya nyuma
Niliyopitia mimi, maama sikuwa hivi
Mlo wa siku tu nilisota, haijalishi nilibadili mipango
Nihame kijiji, nijaribu na mjini
Kula kulala tu nilikosa, kusoma kwa shida huyu huyu mimi
Moyo ulichoka, kuishi kanichoka
Tunakusaidai leo, mara ya mwisho hapa usirudi tena
Moyo ulichoka, nilipo ambiwa hivi
Nilitamani niyaweze maisha lakini mi sikuwa na jinsi
Bado niliamini, ipo siku utatenda mungu
Ninawaza na kutathmini kichwani nakuona bwana
Ulivyonileta hapa mbali sana
Umenitoa mbali sana
Nitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwana
Mimi nisingeweza kuyatenda haya
Umenitoa mbali sana
Nitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwana
Ulivyonileta hapa mbali sana
Umenitoa mbali sana
Nitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwana
Mimi nisingeweza kuyatenda haya
Umenitoa mbali sana
Nashukuru umeniona kati ya waliokuwa chini sana ukaniinua
Bwana wanipenda, tena ukanibariki mimi
Hukuangalia hizi dhambi zangu zote mimi
Nausimulia wema wako bwana siku zote
Na leo nashuhudia bwana, matendo yako makuu sana
Tena hayahesabiki bwana kamwe hayapimiki tena
Ahadi zako ni za kweli, wanilinda na kunitunza
Ona na keti yesu, meza na wakuu yesu
Asante baba, yesu nakusifu leo nipe zaburi yako yesu niimbe niitumze
Wewe ni muweza hakuna kama wewe bwana
Ninawaza na kutathmini kichwani nakuona bwana
Ulivyonileta hapa mbali sana
Umenitoa mbali sana
Nitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwana
Mimi nisingeweza kuyatenda haya
Umenitoa mbali sana
Ninawaza na kutathmini kichwani nakuona bwana
Ulivyonileta hapa mbali sana
Umenitoa mbali sana
Nitaimba na ku kushukuru isingekuwa wewe bwana
Mimi nisingeweza kuyatenda haya
Umenitoa mbali sana
Mbali sana, umenitoa mbali sana
Mbali sana, umenitoa mbali sana
Mbali sana, umenitoa mbali sana
Mbali sana, umenitoa mbali sana
Watch Video
About Mbali Sana
More ZABRON SINGERS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl