IMO Lyrics
IMO Lyrics by MATTAN
Ni cute kiazi utamu wake unono!! Waaaahh
Yupo saa sita yeye yeeh chomoo!! Choomooh
Anapenda Ishara kuliko kubonga domo
Pindi ukimkonyeza ye ye Imooooh!!
Kana shobo loko kimoko
Madingi watoto yeye yeye Imoo
Kakiwa vyombo basi chepesi
Yeye yee wote Imooo
Waaaaah! Imooooooooh
Waaaaaah!
Waaaaaaah..imooooooh
Waaaaaah!
Sometimes!! kanikomeshaa ye!
Sema ndio vile kanajirahisha
Wana kamewamaliza
Kizuri kula na wenzio
la sio mapenzi
Kizuri cha peke ako cha
Wengi uchawi kitakuhusu kitanzi
Ooh yeye hakajatulia
Yeye hakajatulia
Ee yeye hakajatulia
Beng beng mmh e eee
Ooh yeye hakajatulia
Yeye hakajatulia
Ee yeye hakajatulia
Beng beng mmh e eee
Kana shobo loko kimoko
Madingi watoto yeye yeye Imoo
Kakiwa vyombo basi chepesi
Yeye yee wote Imooo
Waaaaah! Imooooooooh
Waaaaaah!
Waaaaaaah..imooooooh
Waaaaaah!
Ooh yeye hakajatulia
Yeye hakajatulia
Ee yeye hakajatulia
Beng beng mmh e eee
Ooh yeye hakajatulia
Yeye hakajatulia
Ee yeye hakajatulia
Beng beng mmh e eee
Watch Video
About IMO
More MATTAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl