Kaniona Lyrics
...
Kaniona Lyrics by ZABRON SINGERS
Leo nitakupa siri, ya maisha yangu
Ukiniona hivi ni mungu amenitendea
Nimefanikiwaje ?
Imekuwa kuwaje ?
Mimi sijui kitu ni mungu amenitendea
Yanini mimi nitamani nisipate, wakati alokugawia namjua
Je siyo yule mungu alompa yakobo baraka
Nilipoijua siri nikaenda, nikaketi nae chini akasema
Hebu nieleze yote maswaibu yanayokusumbua
Nikaziacha shida zangu kwake nikaomba huku nikimuamini
Kuna wakati wa mungu, sahihi ukifika ataniona
Nakushukuru, umenikumbuka umenikumbuka tena
Jehova, nissi kaniona kaniona tena
Nimefurahi amenikumbuka amenikumbuka tena
Mwanba ni yesu, kaniona kaniona yena
Nilisema nimpe muda, karaka ya nini yupo mungu wangu
Jehova nissi, kaniona kaniona tena
Hawahi wala hachelewi niogope nini mungu wangu yupo
Mwamba ni yesu, kaniona kaniona tena
Nilisema nimpe muda, karaka ya nini yupo mungu wangu
Jehova nissi, kaniona kaniona tena
Hawahi wala hachelewi niogope nini mungu wangu yupo
Mwamba ni yesu, kaniona kaniona tena
Kuna wakati rafiki yangu alikata tamaa
Alipoona majibu yako mungu kwangu umechelewa
Hakujua utampa nini, kwa wakati ulio sahili
Tena zaidi ya maombi yako maana haujatusahau
Hukuniaibisha mungu, ulumtetea huyu
Muda ulipofika wakumjibu ulimtendea
Usipotujibu leo, hata ukijibu kesho
Wewe wajua nini kusudi lako uamue hivi
Nakushukuru, umenikumbuka umenikumbuka tena
Jehova, nissi kaniona kaniona tena
Niliogopa uliponyamaza nikahisi umenisahau mimi
Mwamba ni yesu, kaniona kaniona tena
Nilisema nimpe muda, karaka ya nini yupo mungu wangu
Jehova nissi, kaniona kaniona tena
Hawahi wala hachelewi niogope nini mungu wangu yupo
Mwamba ni yesu, kaniona kaniona tena
Nilisema nimpe muda, karaka ya nini yupo mungu wangu
Jehova nissi, kaniona kaniona tena
Hawahi wala hachelewi niogope nini mungu wangu yupo
Mwamba ni yesu, kaniona kaniona tena
Nimefurahi amenikumbuka amenikumbuka tena
Jehova nissi, kaniona kaniona yena
Nakushukuru, umenikumbuka umenikumbuka tena
Mwamba ni yesu kaniona kaniona tena
Watch Video
About Kaniona
More ZABRON SINGERS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl