Pipe Industries Lyrics
Pipe Industries Lyrics by HARMONIZE
Pipes Industry mkombozi wa mabomba
Pipes Industry mambo yote sasa bomba
Pipes Industry mkombozi wa mabomba
Pipes Industry mambo yote sasa bomba
Sambamba na dira ya serikali ya awamu ya tano
Yenye nia ya kusambaza maji safi salama
Maji taka tunayatupa mbali elfu mbili ishirini na tano
Kote Tanzania tunywe yaliyo safi salama
Mmmh tuwakabidhi hilo jukumu Pipes Industry
Maana wengine kelele usidhubutu
Ndo mabingwa wa mabomba magumu Pipes Industries
Utatumia miaka milele hayashiki kutu
Tena hayatengenezwi mbali
Ni hapa hapa Tanzania
Wawekezaji hodari
Wazawa wa Tanzania
Mbomba imara ngangari
Kivyovyote utavyotumia
Hata bei yake sio ghali
Ni nafuu kwa Mtanzania yeyote
Pipes Industry mkombozi wa mabomba
Pipes Industry mambo yote sasa bomba
Pipes Industry mkombozi wa mabomba
Pipes Industry mambo yote sasa bomba
Mabomba haya hutumika
Kwenye miradi ya ujenzi
Kilimo umwagiliaji
Hadi mogodi ya madini
Kupitisha maji taka kadhalika
Kupasuka hayawezi
Hata kwa wafugaji
Ndio chaguo lao niamini eeeh
Mabomba yanayokidhi ubora
Viwango vya taifa na kimataifa
ISO na TBAC
Tena hayatengenezwi mbali
Ni hapa hapa Tanzania
Wawekezaji hodari
Wazawa wa Tanzania
Mbomba imara ngangari
Kivyovyote utavyotumia
Hata bei yake sio ghali
Ni nafuu kwa Mtanzania yeyote
Pipes Industry mkombozi wa mabomba
Pipes Industry mambo yote sasa bomba
Pipes Industry mkombozi wa mabomba
Pipes Industry mambo yote sasa bomba
Watch Video
About Pipe Industries
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl