Acha Wivu Lyrics
Acha Wivu Lyrics by JAY MELODY
Nimeenda beach, nimeenda sinza eh
Kila upande mi nipo nae
Asa kwanini mwana upagawe oh no
Au nimtupe sadakalawe
Aaahh weeeeh acha wivu
Nalewa nae simfanyi kitu acha wivu
Weeeehh acha wivu
Nacheza nae simfanyii kitu acha wivu
Ah sema one two three
Tikisa kichwa my g
Vitu lukuki
Tikisa kichwa my g
I say g g g g
Tikisa kichwa my g
Piga bunduki
Tikisa kichwa my g
Nipeleke police au niroge niwe chizi uwe peace au vipi
Sa mbona unajimix
Nipeleke police au niroge niwe chizi
uwe peace au vipi
Sa mbona unajimix
Aaahh weeeeh acha wivu
Nalewa nae simfanyi kitu acha wivu
Weeeehh acha wivu
Nacheza nae simfanyii kitu acha wivu
Ah sema one two three
Tikisa kichwa my g
Vitu lukuki
Tikisa kichwa my g
I say g g g g
Tikisa kichwa my g
Piga bunduki
Tikisa kichwa my g
Ah sema one two three
Tikisa kichwa my g
Vitu lukuki
Tikisa kichwa my g
I say g g g g
Tikisa kichwa my g
Piga bunduki
Tikisa kichwa my g
Watch Video
About Acha Wivu
More JAY MELODY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl