IYANII Pombe cover image

Pombe Lyrics

Pombe Lyrics by IYANII


Pombe leta pombe
Pombe leta pombe
Siwezi bila pombe
Leta pombe leta pombe
Pombe

Raha  najipa mwenyewe,leta pombe tulewe
Kila mtu apewe, tulewe tulewe
Sina doo lakini lazima pombe
Sherehe aibambi bila pombe
Hapa kwa bash tumelewa pombe
Pombe pombe pombe
Pombe pombe pombe
Shida nikilewa pombe,nakua muhongo sana
Shida nikilewa pombe,naongea kizungu sana
Shida nikilewa pombe,dem za watu ni warembo sana

Pombe leta pombe
Pombe leta pombe
Siwezi bila pombe Leta pombe leta pombe Pombe

Aya kila mtu aekewe drink basi
Wei ko wapi tumbla yako,? ndo hii’’
Kila mtu hako na pombe, eehh
Above the head, (above the head)
Below the belly, (below the belly)
Across the nipples,( across the nipples)
Smooch those nipples, (mwaa  mwaa)
Smooch those nipples,( mwaa  mwaa)
Now swaga that baga , uuiii
Now swaga that baga , uuiii
Binguni akuna pombe, ndo maana tunakunywa pombe
Napenda kwa jug sio kikombe
Tukunywe tulewe pombe

Pombe leta pombe
Pombe leta pombe
Siwezi bila pombe Leta pombe leta pombe Pombe

Watch Video

About Pombe

Album : Pombe (Single)
Release Year : 2021
Copyright : © UtembeWorld2021
Added By : Farida
Published : Sep 21 , 2021

More IYANII Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl