Kifo Cha Mende Lyrics
...
Kifo Cha Mende Lyrics by IYANII
Sema uuuh uuuh wiiiii yaa yaa
One time
We Waka Waka Waka
Cheza doba zi tu nice, Ju zetu zime nice
Mwana
Sema uuuh uuuuh wiiiii yaa yaa
Kwa Majina ni Iyanii (nayo) Tunakujua
Cheza doba zi tu nice Ju zetu zime nice
La la la
ako ka peng nika area
Na kakitaka me huichapa (chapa)
Nakula kiapo ndai hapa, Ajeeeeee
Sit don Pon it nkirusha mamistari
Viungo we nengua, mwili hatari
Whine n coach nishikishe mali
Twende maeneo, chuma ilale ndani
Iyanii bad boy kijana wa ingo
Napenda njugu na Mukombero
King wa ma style napenda mastingo
Kifo cha Mende ama Wagido
Uuuh uuuh wiiii ya ya
Kufa dereva makanga
Leo ni Kifo cha Mende
Sema uuh uuuh wiii ya ya
Leo tuna vunja kitanda
Kudonjo kudunda na yeye
Nayo Nayo Nayo (Anguka)
Nayo Nayo Nayo (Dunda)
Nayo Nayo Nayo (Mimi)
Nayo Nayo Nayo
Wayaya
Maji imepatana na wire ya stima
Hata haya sina, naipiga ki John Sina
When I'm done you can't see me
Vuta kaya harufu mbaya
Ni ya majenge
Mandukulu mbaya
Unaishi wapi yahaya (aaii)
Unatoka wapi ulaya
Nyash yake soft kama mattress
Naipapasa inanitoa stress
Kama mzinga nitakabless
Na majirani wata witiness
Iyanii bad boy kijana wa ingo
Napenda njugu na Mukombero
King wa ma style napenda mastingo
Kifo cha Mende ama Wagido
Uuuh uuuh wiii ya ya
Kufa dereva makanga
Leo ni Kifo cha Mende
Sema Uuuuh uuuuh wiii yaa yaa
Leo tuna vunja kitanda
Kudonjo kudunda na yeye
Nayo Nayo Nayo (Eeeeh )
Nayo Nayo Nayo (Dunda)
Nayo Nayo Nayo (Mimi)
Nayo Nayo Nayo
Aaaahhh
Wachaa bana
Pull Up
Manake
Rudia tena
Uuuh uuuh wiii ya ya
Nayo Nayo Nayo (Anguka)
Nayo Nayo Nayo
Kufa dereva makanga
Nayo …. Nayo Nayo (Mimi)
Leo ni Kifo cha Mende
Nayo …Nayo Nayo
Sema Uuuh uuuuh wiii yaa yaa
Nayo …. Nayo Nayo
Nayo
Watch Video
About Kifo Cha Mende
More IYANII Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl