
Sherehe Lyrics
Sherehe Lyrics by IYANII
Kwa majina ni iyanii (tunakujua)
Iyanii
Na tuko sherehee
Hii ni sherehee
Hii ni sherehee shangilienii shangilienii
Hii ni sherehee
Hii ni sherehee shangilienii shangilienii
Oohooo ooh
Hii ni sherehee shangilienii
Furahani shangilienii
Hii ni sherehee
Hii ni sherehee shangilienii
Tulitamani maisha mazurii
Nashukuru mlituombea tukaanguka tukainuka
Nashukuru mlituombea
Leo tuko pazuri Nashukuru mlituombea
Marafiki zangu, familia yangu nawaombea
Mwende juu up up up
Mseinde chini down down down
Mwende mbele front front front
Msiende nyuma back back back
Mpande ndege kwa mataifa zote
Mpande ndege kwa mataifa zote
Kwa umbali tumefika
Hii ni sherehee
Hii ni sherehee shangilienii shangilienii
Hii ni sherehee
Hii ni sherehee shangilienii shangilienii
Oohooo ooh
Hii ni sherehee shangilienii
Furahani shangilienii
Hii ni sherehee
Hii ni sherehee shangilienii
Nakuombea ubarikiwe wewe (wewe)
Me nakuombea ufanikiwe wewe (wewe)
Mungu akulinde na akujalie wewe (wewe)
Mashabiki wangu
Na wasanii wenzangu (nawaombea)
Mwende juu up up up
Mseinde chini down down down
Mwende mbele front front front
Msiende nyuma back back back
Mpande ndege kwa mataifa zote
Mpande ndege kwa mataifa zote
Kwa umbali tumefika
Hii ni sherehee
Hii ni sherehee shangilienii shangilienii
Hii ni sherehee
Hii ni sherehee shangilienii shangilienii
Oohooo ooh
Hii ni sherehee shangilienii
Furahani shangilienii
Hii ni sherehee
Hii ni sherehee shangilienii
Watch Video
About Sherehe
More IYANII Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl