
Mzima Mzima Lyrics
Mzima Mzima Lyrics by HANSTONE
Oooh baila, baila
Baila baila baila
Oh baila
Nashindwa lala nikiwa mbali nawe
Nashindwa kula, nisipokuona
Najionaga fala nikiwaga nawe
Ooh hewala, tiba yako napona
Mmmh tuogeshane lazizi tusuguane
Tuoneshane kukabidhi tugaiane
Tufikishane mla ndizi tusiachane
Tuchoshane kwa matizi tutoane jasho
Ah tuwape pole
Wanaonyoosha vidole
Wanaoapa tufiki mbele
Wanajipa kazi bure
Ah wanaona gere, wanapiga kelele
Wanaviherehere, oh oh
Ndani ya penzi nimejifia, mzima mzima
Watanizika, mzima mzima
Yaani nakufa najiona, mzima mzima
Ah watanizika mimi, mzima mzima
Ah hiki kina cha maji marefu nimezama haya
Hashiki shina kwa uti mrefu amekoma mwaya
Wenye fitina la mapenzi yetu wanaona haya
Visavizabina kusaka yetu watachina mbaya
Ah chinga zibibi mchuma uko ngangari
Haiweki wazi wa kuipona sio kamari
Ah tuwape pole
Wanaonyoosha vidole
Wanaoapa tufiki mbele
Wanajipa kazi bure
Ah wanaona gere, wanapiga kelele
Wanaviherehere, oh oh
Ndani ya penzi nimejifia, mzima mzima
Watanizika, mzima mzima
Yaani nakufa najiona, mzima mzima
Ah watanizika mimi, mzima mzima
Watch Video
About Mzima Mzima
More lyrics from Amaizing album
More HANSTONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl