
Hii Lyrics
...
Hii Lyrics by HANSTONE
Siku hizi huskii ushaacha kulia maana sioni ukujiliza
Moyo wako umeshaacha umia umepona ulipoumizwa
Sio kama nakufuatilia ningependa kukuuliza
Ulompenda ndio ulomtarajia maana hivyo ndio mkimbia giza
Kushindania siwezi
Kushindania mapenzi
Unaeza kumpenda asiyekupenda kupe anaenjoy mapenzi
Kungangania siwezi kungangania mapenzi
Na moyo wangu mmoja na unaweza penda wengi
Kisichoridhiki hakiliki muda nakubali
Muda nakataa
Vile husikii huambiliki
Cheo yangu na umeondoka ndio nashangaa
Aah moyo nilikosea kupenda moyo
Moyo nilikosea chagua moyo wangu
Aah moyo sipaswi kukulaumu moyo maana
Kuna muda na macho naona na akili inachagua
Imani sina
Moyo umebaki mweupe ndani ulikua mwnyewe
Umeniacha amani sina ye ye ye
Basi changu nikuona tu roho yangu itulie
Hii hii, hii hii
Hii hii, hii hii
Watch Video
About Hii
More HANSTONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl