Jichunge Lyrics
Jichunge Lyrics by PEACE ONE
Hey dada jichunge
Usiuwache wazi huo mlango ufunge
Mmenipata na mimi ni kaka
So hata mkikaa kimya
Mimi nitasimama kama kaka
Kwa iyo acha hizo powder, kutoga ushoga
Mjini hauna kazi kukaa kwa njomba
Kushinda maskani kuwapa mimba madada
Utajikuta ni baba ambaye pia anakaa kwa baba
Nyi mta tanga tanga, mta danga danga
Mtafosi maji kweny mlima kupanda
Na usipojichunga utachungwa
Na ukiacha wazi magoli utafungwa
Jichunge wewe
Ingiza vifaranga mi kunguru mwewe
Usiposkia la mkuu utavunjika guu
Na hii ni sindano mtanyooka mwaka huu
Nasaka natafuta long
Nazisaka navyo vikwio vinataka bata
Na masela wanaunga tela
Wanamwaga sera mi nimwage hela
Jua shukurani ya punda mateke
Na nyumbani njaa kali maseke
Jichunge jichunge iyee
Jichunge jichunge iyee
Jichunge hii dunia tunasafiri
Acha ujangili kwa piece hii ndio habari
Kuwa chakiri sio kimwili
We jisexy na mtoto wa shule kamo na kiri
Watu wanatembea na more fire
Ndoa hazidumu mikataba ka ulaya
Wengine wanakula unga na mazala
Utatabua kwamba na hata alizaa pombe empire
Nyumbani unaitwa baba, kitaani unakaba
Kisha wakizubaa mda kidogo kwako unabeba
Ni hatari kubeba huo msalaba
Jichunge wenzako kuwakaba loba
Wako wanalala njaa, we unakesha baa
Mke wako yuko leba hana hata chapaa
Leo upo kesho haupo kwa iyo
Chunga hili kosa, lisijirudie kosa
Nasaka natafuta long
Nazisaka navyo vikwio vinataka bata
Na masela wanaunga tela
Wanamwaga sera mi nimwage hela
Jua shukurani ya punda mateke
Na nyumbani njaa kali maseke
Jichunge jichunge iyee
Jichunge jichunge iyee
Nasaka natafuta long
Nazisaka navyo vikwio vinataka bata
Na masela wanaunga tela
Wanamwaga sera mi nimwage hela
Jichunge jichunge iyee
Jichunge jichunge iyee
(Kiri Records)
Watch Video
About Jichunge
More PEACE ONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl