Nifute Machozi Lyrics
Nifute Machozi Lyrics by HANSTONE
Yeah Mic check 1, 2
Stone Boy round 2
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yah
Yeah! Kidonda ulichonacho sijapona
Mi najiuguza mwenyewe
Kukupenda sidhani nitakona
Maana ulinifunza ni wewe
Hisia zangu kwingine zimegoma
Sijakufa juu yako wewe
Baby what you doing to me
Baby what you doing to me
We ndo ulikuwa kwa baridi, aah
Uliye nipa joto, aah
Love pekee ulinifariji, aah
Yaani kama mtoto
Na kuna mengi si uliniahidi
Nitavumilia changa moto
Kweli mkaidi hafaidi
Ona penzi umetia moto
Na umeniacha you doing to me
Na mguu wa kilio ooh
Na mguu wa kilio
Baby na sijampata aniamini
Rudi we ndo kimbilio
We ndo kimbilio
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yah
Iyaa iyaa iyaa
Me ah go wait, me ah go wait
Iyaa iyaa iyaa
Me ah go wait, me nuh go wait
Me ah go wait, me nuh go wait
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yah
Gal you blocking my Insta, my Facebook, my Twitter
You don't want to see me hata nikipost picha
Hisia siwezi ficha my gal unanifelisha
Basi baby rudisha moyo
Akili yangu unaichachisha
Unanitoa unanizidisha
Kama maisha marefu basi unafupisha
Siamini umesitisha kurudisha moyo wako
Na umeniacha you doing to me
Na mguu wa kilio ooh
Na mguu wa kilio
Baby na sijampata aniamini
Rudi we ndo kimbilio
We ndo kimbilio
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yeah
Njoo unifute machozi yah
Iyaa iyaa iyaa
Me ah go wait, me ah go wait
Iyaa iyaa iyaa
Me ah go wait, me nuh go wait
Me ah go wait, me nuh go wait
Watch Video
About Nifute Machozi
More lyrics from Amaizing album
More HANSTONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl