Chapa Chapa Lyrics
Chapa Chapa Lyrics by ETHIC
Nikichapa naichapanga jo tena
Nikichapa naichapanga jo tena
(Motif di Don)
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Peninah na nani na ni otero
Cheki Idah wanadandia akaambie pero
Ka ni kus nataka nikaambie Shiro
Na shiro ananishow ana mashiro
Digithia digithia digithia wana
Digithia digithia digithia wana
Digithia digithia digithia wana
Bro zikishika achanga wana
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Pikapika, ringa, lima lima
Piga mimba, chimba, kemba pima
Vimba vimba, lima, zima zima
Simba ringa, bomper, vimba dinga
Mzinga kinda, dinda, vako pinga
Vanga manga, shada, nyanya ndaka
Unaeza lamba, bamba, mbao saka
Chimba chimba, zika, bananana...
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Pako ya kondiko na ya kahawa
Safisha rungu alafu maliza na madawa
Usishike tire na manjoti we nawa
Kula kula style ya chura, kula style ya swala
Leo stoki mbata
Leo shang'i inang'aa
Pongi haiezi isha
Naichapa lala
Ati imwage malaa
Ukichoka lala
Nikundaka lala
Nawavua kumbe nanga zimeparara
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Leo stoki mbata
Leo shang'i inang'aa
Pongi haiezi isha
Naichapa lala
Ati imwage malaa
Ukichoka lala
Nikundaka lala
Nawavua kumbe nanga zimepararara
Watch Video
About Chapa Chapa
More ETHIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl