YOUNG OG Ogopa  cover image

Ogopa Lyrics

Ogopa Lyrics by YOUNG OG

Young OG, yoh ogopa
Huku ghetto jo ogopa, huku ghetto jo ogopa 
Huku ghetto jo ogopa ukiketi vibaya my nigga utaokotwa

Ogopa, ogopa, ogopa, ogopa 
Ogopa, ogopa, ogopa, ogopa 

Niko na goons, kina Abubakar mabro kina kina Abdul
Uliza uliza mito, KCC si ndo huitwa watoto wahuni
Ukijifanya fala si huchapana 
Dishi nikipata nala na wana eeey
Huku ni tricky ukipigwa risasi
Si hufunikaga na bandana

Hatupeanangi chance
Tukiona ukitusanif tunakukanyaga
Kichibude chibude na pia 
Ukiteta sana si tunakumurder

Si hudishi kitu tunapata
Hatunanga menu unaeza dishi hadi paka
Zingua tu uone ukifuatwa
Kongo Karama ndo base utanipata

Kelele mingi ndo hatupendi
Chini ya maji kama pedi
Dagger zihufichwa kwa dread
Usitake tupatane ju itakuwa ni deadly

Kelele mingi ndo hatupendi
Chini ya maji kama pedi
Dagger zihufichwa kwa dread
Usitake tupatane ju itakuwa ni deadly

Story zetu huwanga trending
Si ndo wale vijana wenye hawapendwi
Ndo maana si hushuku watu 
Si ni wale vijana hatutambuagi mapenzi

Mbona unakaa jo umeshtuka 
Ni habari nakupa na ushaanza kushuta
Mbona unakaa ka umefugwa 
Si huku ukikuja my nigga utakutwa

Huku ghetto jo ogopa, huku ghetto jo ogopa 
Huku ghetto jo ogopa ukiketi vibaya my nigga utaokotwa
Huku ghetto jo ogopa, huku ghetto jo ogopa 
Huku ghetto jo ogopa ukiketi vibaya my nigga utaokotwa

Huku ghetto jo ogopa, huku ghetto jo ogopa 
Huku ghetto jo ogopa ukiketi vibaya my nigga utaokotwa
Huku ghetto jo ogopa, huku ghetto jo ogopa 
Huku ghetto jo ogopa ukiketi vibaya my nigga utaokotwa

Ogopa, ogopa, ogopa, ogopa 
Ogopa, ogopa, ogopa, ogopa 

Cheki cheki cheki rada ushatokwa
Nyamaza ukibonga ni blunder
Huku hakunanga ma chief Inspekta
Huku si ndo ma commander

Unakuja mtaa si yako
Pigwa makofi mateke unawachwa na fare
Huku hata ka buda hauna makosa
Ni lazima tu utajitetea

Huku ghetto jo ogopa why?
Mali yako iko focus
Sleki sleki utapata umetokwa
Hesitating huku chondo makosa
Rada ni chafu nipate na goons
Ka ni lawama manze hatutambui
Huku hauwezi taja mtu haujui
Ghetto life ndo teacher mzuri

Ni kama drama utadhani ni movie
Ujanja huku my nigga ndo ujuzi
Kesho ni ya Mungu manze hatujui
Reason hadi mi huombea adui

Tabia ka za Obare utaishi uki torchwa
Huku ma odinare utapata wako focused
Kila mtu ni G huku hakuna warazi kali 
Graph yangu bado iko razi ngani
Ghetto life nigga iko ndani mtaani
Huku huwaga hatuogopani
Ka hatukujui boss samahani usishtuke
Simu zetu mteja hapatikani

Huku ghetto jo ogopa, huku ghetto jo ogopa 
Huku ghetto jo ogopa ukiketi vibaya my nigga utaokotwa
Huku ghetto jo ogopa, huku ghetto jo ogopa 
Huku ghetto jo ogopa ukiketi vibaya my nigga utaokotwa

Huku ghetto jo ogopa, huku ghetto jo ogopa 
Huku ghetto jo ogopa ukiketi vibaya my nigga utaokotwa
Huku ghetto jo ogopa, huku ghetto jo ogopa 
Huku ghetto jo ogopa ukiketi vibaya my nigga utaokotwa

Watch Video

About Ogopa

Album : Ogopa (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 16 , 2021

More YOUNG OG Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl