Dungu Lyrics by OCTOPIZZO


8Town, Pizzo De
Eyoo cha usiku, cha usiku
Eh ongeza mchicha kwa viazi zangu bana wee

Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao
Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao

Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao
Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao

Eey cheki lanes niko focused
Ukitense pigwa tisa mijikenda
Gang gang tinga lock ukitoka
Washatii na bado sijatema tepa

Taxin nikicock unaokoka
Nilituma pi nguruwe zikahepa
Mekatilili nikibonga
Master I got the keys takes notes man

Culture ka si roots nipe doba
Rasta ka si nduks nipe gomba
Duster ka ni drip shika moper
Drinks zii sipendi maji nipe chopper

Sober ndio urade hizi 4 bars
Mlevi anadhani ninabonga juu ya four bars
Zima ka ya Nicki si waliskiza hook 
Idd aziz, wape chorus

Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao
Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao

Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao
Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao

Dungu alinipea itabidi nimeenda kwao
Nduru akipokea Mduruma wangu
Hataki nitoke kwao

On air si hupara chuu
Alibaba hebu leta hizo karafuu
Sidai fridge nina barafuu
Nina gang Kongowea sio bara tu

Nina dem wa kiDigo, Chonyi na Ribe Kambe
Giriama tu
Fake love kwa machozi ya kitunguu
Cheki balance si hubounce ka Kiburu

River Nile Mijikenda
Na ka haujui kenda inamaanisha 9 tribes wewe
Na ya bingi nikitema
Huskii hii doba inanipatia cloud 9 vibes

Zima nare nikisema
Namba nane kejani niko na 9 wives
Usilale ni mapema 
Na ka zimeshika buda basi nipe hio high five

Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao
Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao

Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao
Dungu dungu kweyaa 
Peleka aende kwao

Ohanga kidi, ohanga kidi
Ohanga kidi, ohanga kidi
Jowie, Jowie, Jowie

Ohanga kidi, ohanga kidi
Ohanga kidi, ohanga kidi
Jowie, Jowie, Jowie

Watch Video

About Dungu

Album : Jungle Fever (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 19 , 2020

More lyrics from Jungle Fever album

More OCTOPIZZO Lyrics

TBT
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl