Kibanda Lyrics by OCTOPIZZO


Kangeta taxin bana niko handis
Nane ngori pizzo man a badman
Zima moshi rada za NACADA
Mary Jane pass it napenda huyo dada

Mary Jane napenda wewe sana
Nipate pale java niko jaba
Chini hauwezi simama kata waba
We ni art si basi msupa si chora saba

Pika soap nikicheki dabass
Campus we ndo nangoja 
Pizzo De king and you 
You know it

Ngati ni ngola, Tanasha Donna
Pizzo ni Don man, chorea conman
Toka Dodoma, ati Dangote (Ati)
Nabonya wote usiogope

Breko zangu zote kwa kibanda
Ma-time lunch pia kwa kibanda
Bachelor sapa kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda

Breko zangu zote kwa kibanda
Ma-time lunch pia kwa kibanda
Bachelor sapa kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda

[Blinky Bill]
Sema bags when I stack up
Msupa ameback up 
Najua hamjui mi hujua hizi vitu
Najua hamjui mi huua hizi vitu
Najua hamjui nitasumbua kila kitu

Now tell me who
Want to come with the realest
Ready and not so we gon play
And if you really wanna know how we do this thing
Let me tell you, let me tell you one time

Leta sima, leta nyama
Leta mboga one time
Alafu sasa jaza supu niwaoshe one time
Jina yangu usitaje ukidai kuja, jakes (Kuja jakes)

Rada rada za kifala sema kweli mi sijui
Kama doshi iko poa basi jua sibagui
Na warembo hatujui wamefunga buibui
Hapa kazi nimefunga ni kukula kama chui kang kang

Breko zangu zote kwa kibanda
Ma-time lunch pia kwa kibanda
Bachelor sapa kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda

Breko zangu zote kwa kibanda
Ma-time lunch pia kwa kibanda
Bachelor sapa kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda

[Zzero Sufuri]
Mi hupiga biz ka ni sure
Niko juu ya maji ka mashua
Ka ni shada mi hunyanyaga na mapure
Mi ni mkali zaidi ya pili hadi khalisi ananijua

No crack pay napiga stiki
Ikus si tamu ka haiwiki
Huski kajaba si kambere ka hakashiki
Nipate juu ya kandovu kejani harufu ni ya iliki

Attractive inavutia mamatha
Ngoma huskii ni mbaya Kili mums utaipata
Zzero man a bad man shatta
Doshi imewachizisha na yangu chuma wanaitaka

Breko zangu zote kwa kibanda
Ma-time lunch pia kwa kibanda
Bachelor sapa kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda

Breko zangu zote kwa kibanda
Ma-time lunch pia kwa kibanda
Bachelor sapa kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda

Watch Video

About Kibanda

Album : Jungle Fever (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 19 , 2020

More lyrics from Jungle Fever album

More OCTOPIZZO Lyrics

TBT
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl