Cheza Lyrics

DELO Kenya | Gengeton,

Cheza Lyrics

Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana 
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana 
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada

Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana 
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana 
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada

Ni yule kijana mmoja gaidi Sana sana tena zaidi 
Mi nakazana kisha miti
Na nikifika bei naskia fiti
Naipigia kwenye bed kisha juu ya kiti 
Shhh ndani ya kitu shhh juu ya titi
Change position ni kama unapiga deki
Na ukule hiyo haga ni ka unakula keki
Na ukuwe rada jo juu unaeza bleki
Kiki  Kiki do you Love me? 
Apantambua hizo jo mi si mlami
Hotter dan de sun fika basi jo Miami 
Ubaya na majuu huwezi pata jo majani 
Kunitoa base ni kunipa mtihani
Tuende mtaa babe nikupe mti hunnie
Nakushika koo unaeza dhani mi sijali 

Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana 
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana 
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada

Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana 
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana 
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada.

Wakinicheki wanatii wanajuwa mi ni ordinare 
Dem yako nyati na akingoa ni vibare 
Odi odi Kawangware vijana sugu namba nane
Wakisha kitu Brejin leta nare
Na madem wainame 
Injection ya sare 
Funga bao kama nane
Na wapige nduru nimewageuza manugu
Na tukimunju wanageuka ma bubu 
Amepiga magoti unaeza dhani anaabudu 
Anadai nimwage ndani njugu njugu 
Ni kijana wa kambi flani Jamhuri
Si wa leo si wa jana wala jo si wa juzi
ONLYONEDELO ALO

DELO (6 lyrics)

Delo aka TheOnlyDelo is an artist from Kenya.Delo is also known as 'The King of Gengetone'  his favourite slogan is 'Alo'. Delo was an underground rapper, but with the help Chipukeezy management, Delo was able to shoot his first music video 'Chupa ku Chupa...

Leave a Comment