Epuka Lyrics by DELO

(Chorus)
Mi ndio yule kijana wazazi walikuambia EPUKA 
Cheza na hizo bale unauwa jo ndani ya bukla
Cheka na huyo msupa anapata alifungua duka
But ni heri afunge kama stock inatupa

Mi ndio yule kijana wazazi walikuambia EPUKA 
Cheza na hizo bale unauwa jo ndani ya bukla
Cheka na huyo msupa anapata alifungua duka
But ni heri afunge kama stock inatupa

Hii ni noma,  hii ni crazy 
Hii si homa, hii si ushenzi
Kazi kuroga, sijawai kuwa lazy
We songa wacha mapenzi

Kila siku turn up, kumeza vitu heavy
Mi ni player kazi ni kugonga neti
Big deal DELO kwenye sehemu nyeti
Namba kumi na saba mgongoni cheki jersey

Ndani ya room biashara yaani kazi
Amepiga magoti anameza ndizi
Kitu bwaku bila ata maji 
Alicheki ring akalia ati magic

Kama huwezi rada basi jo we ni pimbi 
Kama huwezi fika bei tuliza vitimbi 
Toto si toto jo waroro ndio wengi 
Ndoto ni ndoto na wasoro siwapendi 

(Chorus)
Mi ndio yule kijana wazazi walikuambia EPUKA 
Cheza na hizo bale unauwa jo ndani ya bukla
Cheka na huyo msupa anapata alifungua duka
But ni heri afunge kama stock inatupa

Mi ndio yule kijana wazazi walikuambia EPUKA 
Cheza na hizo bale unauwa jo ndani ya bukla
Cheka na huyo msupa anapata alifungua duka
But ni heri afunge kama stock inatupa

Kwanza usiwai sese dem akiwa juu ya aluta 
Ni ka umcheki na wig kisha umpate na matuta 
Gari hiwezi songa bila kuseti mafuta 
Napenda nikiroga kama nimepiga mbichwa

Napenda mkibonga mnaibisha size ya kichwa
Akili mmejinyonga mnakaribisha riswa 
Saa mbili mkononi ndio ni cheze na wakati 
Jangili mkoloni sijai fyat ju ya tire

Zzzzh Zzzzh na maisha inavutwa 
Zzzzh Zzzzh na mi hupenda zile mbichwa
Zile nikipiga ninaziskizia hadi kwa kichwa 
Zile zinafanya nina spit jo ki ninja 

Cheza na hiyo beat ni ki spit piga picha 
Cheza na hiyo meat nikishit imeharibika
DELO on the beat sahi na kila dakika
Nilikuwa hatari na sa hizi nimeharibika

(Chorus)
Mi ndio yule kijana wazazi walikuambia EPUKA 
Cheza na hizo bale unauwa jo ndani ya bukla
Cheka na huyo msupa anapata alifungua duka
But ni heri afunge kama stock inatupa

Mi ndio yule kijana wazazi walikuambia EPUKA 
Cheza na hizo bale unauwa jo ndani ya bukla
Cheka na huyo msupa anapata alifungua duka
But ni heri afunge kama stock inatupa

Nimeharibika na nilikuwa hatari
Ni ka ulete shada alafu niongeze asali
Ni ka ulime shamba alafu usipalilie ndani 
Mama wa kwako bro ameshinda amenitamani 
Nachukia kupigia poko alafu anaulizia ni nani
Buy goods and services na mfuko nina chwani
Nashukuru sana bro kwa kuniita mtiaji
Na hizo viatu imbo zitumbukize ndani ya maji 

Gidhaa inasonga na hujatoana ata panty
Kutu itakuuwa vile nakuuwa na kipaji 
Still a real one na nimeishi na watu dirty
Still a bad man na nimeishi na ma babi

Before unicheki kwa mbulu wacha kwanza ni seme asante 
Na before uanze kuabudu juwa kwanza we ni nani
Watu kuchorea mungu na kuanza kuabudu ganji
Nitawapeleka na rieng vile na wa beba na hii kipaji

(Chorus)
Mi ndio yule kijana wazazi walikuambia EPUKA 
Cheza na hizo bale unauwa jo ndani ya bukla
Cheka na huyo msupa anapata alifungua duka
But ni heri afunge kama stock inatupa

Mi ndio yule kijana wazazi walikuambia EPUKA 
Cheza na hizo bale unauwa jo ndani ya bukla
Cheka na huyo msupa anapata alifungua duka
But ni heri afunge kama stock inatupa

Watch Video

About Epuka

Album : Epuka (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 30 , 2019

More DELO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl