Genje Lyrics by DELO


Mbogi ni the Only Delo family
Tunasaka tukishika hizo doh kwaheri
Shuka ni tena sana Mavo on the beat
Na kangoma manze joh kakidrop ni thithi

Genje genje ngoma jo ni genje
Cheza ukiwa solo ama jo ukiwa na rende
Genje genje ngoma jo ni genje
Kama ushaipenda basi jo ivalishe pete

Nimechange flow na itabidi waipende
Ubaya ya kuwa hoe huwezi control jo manyege
Genje genje cheza na kadenge
Wachenge wachenge wachenge ki Kadenge

Nimejipuliza nikajipata juu ya ndege
Na kenye kilinyc mi ndio nilikuwa kadere
Funny haa nilijipata na kirende
Legalise ting ju manze jo kuna venye

Mabang'a wa mtaa huniudhi na kiherehere
Manguo wamevaa hunikatsia na mirende
Kijana manufaa yaani kijana mgenge
Na ngoma inafaa yaani ngoma jo ni ge

Genje genje ngoma jo ni genje
Cheza ukiwa solo ama jo ukiwa na rende
Genje genje ngoma jo ni genje
Kama ushaipenda basi jo ivalishe pete

Genje genje ngoma jo ni genje
Cheza ukiwa sober ama ukiwa matembe
Genje genje ngoma jo ni genje
Kama ushaipenda basi jo ivalishe pete

Nimechange flow na bado ngoma ni genge
Tone nimechange na bado ngoma ni genje
Song iende chain na mahaters jo wasenge
Genje genje ngoma jo ni genje

Kama unadai shamba kuja basi jo na jembe
Na para za wamama waachie jo wenyewe
Mtoto akilia sana mpe basi wembe
Vijana tutakazana 2030 tuwe mbele

Gava cheki mimi sio wewe
Wacha nijipin shada ndio mimi unielewe
Wachenge ki Kadenge kisha funga kama Pele
Only one Delo Hallo

Mbogi ni the Only Delo family
Tunasaka tukishika hizo doh kwaheri
Shuka ni tena sana Mavo on the beat
Na kangoma manze joh kakidrop ni thithi

Genje genje ngoma jo ni genje
Cheza ukiwa solo ama jo ukiwa na rende
Genje genje ngoma jo ni genje
Kama ushaipenda basi jo ivalishe pete

Gengetone to the world wacha niijenge
Hey haha itabidi niwateke
Niwabebe niwabambe
Tukifika to the world sote tuwatese

Simama kete nana na Trey Songz
Ngoma moja mbaya UB 40 jua ni reasons
Banana ni mete ndizi pia ni banana
Nimewaka baze kila mtu anafanana

Nimetoka baze hakuna mtu anafanana
Digaga wanana hapa jo ni balala
Unapigwa moja unapata ulilalala
Only One Delo hakuna fanana

Mbogi ni the Only Delo family
Tunasaka tukishika hizo doh kwaheri
Shuka ni tena sana Mavo on the beat
Na kangoma manze joh kakidrop ni thithi

Genje genje ngoma jo ni genje
Cheza ukiwa solo ama jo ukiwa na rende
Genje genje ngoma jo ni genje
Kama ushaipenda basi jo ivalishe pete

King of Genge only One Delo Alo, Alo
Ata usipojam kwa hii ngoma bado utadedi
ALO!


About Genje

Album : Genje (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 25 , 2020

More DELO Lyrics

DELO
DELO
DELO

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics 

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2021, We Tell Africa Group Sarl