Unaniona Lyrics
Unaniona Lyrics by K2GA
Nilipata tabu kupata penzi lako
Huku kando ulisita moyo wako
Beki ya moyo funguo ipo kwako
Mimi mazima siwezi toka kwako
Jamani moyo wangu usijezima
Kulalamika ka ukilema
Kunipa penzi lako hata huruma huna
Unanitesa sana
Jamani moyo wangu usijezima
Unanitesa sana
Kunipa penzi lako hata huruma una
Unanitesa sana(Aaah ma)
Kitochi kibuti kumwagwa
Kutoswa kutemwa(Inauma sana)
Na kitochi kibuti kumwagwa
Kutoswa kutemwa
Sasa hivi unanuna(Aha)
Dhamani mi sina(Aha)
Unavyonisema(Aha)
Sina maana tena(Aha)
Hivi unanuna (Aha)
Dhamani mi sina(Aha)
Unavyonisema(Aha)
Sina maana tena(Aha)
Wasi wasi wa moyo nilonao
Moyo wako bado hujaona
Kuwa na wewe bado naona
Uzito wa penzi lako uzani unagoma
Basi nipe sikio mi leo
Nisikie niyasemayo
Usinipeleke mbio saana
Kama hulitaki we sema
Maana hata raha sina(Sina)
Sina pa kupapasa sina(Sina)
Sina pa kushika sina(Sina)
Sina pa kuhemea sina(Sina)
Kitochi kibuti kumwagwa
Kutoswa kutemwa(Inauma sana)
Na kitochi kibuti kumwagwa
Kutoswa kutemwa
Sasa hivi unanuna(Aha)
Dhamani mi sina(Aha)
Unavyonisema(Aha)
Sina maana tena(Aha)
Hivi unanuna (Aha)
Dhamani mi sina(Aha)
Unavyonisema(Aha)
Sina maana tena(Aha)
Saa waniona, haa uniona
Hivi unaniona
Unaniona unaniona unaniona
King’s music
(Respect)
Watch Video
About Unaniona
More K2GA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl