K2GA Rangi Rangi cover image

Rangi Rangi Lyrics

Rangi Rangi Lyrics by K2GA


Matam, mapenzi matam
Raha zimeshamili kaa mnwvyo ona
Jamani matam
Vitam, napewa vitam
Usione nanawili, usione nanona
Napewa vitam
Penzi lipambwe na waridi
Nogesha na udi mambo hayaa
Mpenzi nikinge na baridi
Maana likizidi hali mbaya huuuuu
Mapenzi yetu ya rangi rangi yanapendeza sana
Na kwako nimeweka kambi ayaaaa
Moyo unashahidi mwandani wangu
Wewe ndio my habity feraha yangu
Moyo unashahidi mwandani wangu
Wewe ndio my habity feraha yangu

Me kwake yeye
I’m in love
Tunapendana
Ringa ringa mamaa
Walushe rohoo
Tunapendana
Mimi na yeye
Kuachana mwiko
Tunapendana
Ringa ringa mamaa
Walushe rohoo
Tunapendana

Kwenye mito milima
Nitavuka naee aah
Uwezo wa karima nitadumu nae
Kashika nyama na mifupa kaapa nitazikwa naee
Mapenzi ya raha kuchi kuchi hotaee
Na lake huba analo nipa
Me sijaona kama yeeh
Mapenzi ya raha
Couple yetu imenoga ipo ng’aring’ari
Bila ya ndumba kuroga twayanza safari
Baby ulipo name nipo we pipa me ndo mfuniko
Tushakulaga kiapo
Kuachana mr nawe mwiko huuuuu
Mapenzi yetu ya rangi rangi yanapendeza sana
Na kwako nimeweka kambi ayaaaa
Moyo unashahidi mwandani wangu
Wewe ndio my habity feraha yangu
Moyo unashahidi mwandani wangu
Wewe ndio my habity feraha yangu

Me kwake yeye
I’m in love
Tunapendana
Ringa ringa mamaa
Walushe rohoo
Tunapendana
Mimi na  yeye
Kuachana mwiko
Tunapendana
Ringa ringa mamaa
Walushe rohoo
Tunapendana

Watch Video

About Rangi Rangi

Album : Rangi Rangi (Single)
Release Year : 2022
Copyright : ©2022 Kings Music Records.All rights reserved.
Added By : Farida
Published : Jun 17 , 2022

More K2GA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl